GE2025 Azim Dewji: Rais Samia wasikusumbue wakina mbiombio hawa jambo isipokuwa ni wivu tu

GE2025 Azim Dewji: Rais Samia wasikusumbue wakina mbiombio hawa jambo isipokuwa ni wivu tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji katika harambe ya kuchangia kampeni za CCM ambayo inakwenda kwajina la CCM gala diner amesema Rais Samia asisumbuliwe na kinambimbio ambapo hawana jambo bali wivu tu.

Rais Samia usisumbuliwe na wakina mbiombio hawana jambo bali ni witu tu, awakutegemea kumaliza kazi iliachwa na marehemu Magufuli na kuongeza walio utaishia njiani

 
1755041361641.png
 
Maneno kama haya yanaleta na kujenga chuki siku zijazo, abakishe maneno
 
Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji katika harambe ya kuchangia kampeni za CCM ambayo inakwenda kwajina la CCM gala diner amesema Rais Samia asisumbuliwe na kinambimbio ambapo awanajambo bali wivu tu.

Rais Samia usisumbuliwe na wakina mbiombio awanajambo bali ni witu tu, awakutegemea kumaliza kazi iliachwa na marehemu Magufuli na kuongeza walio utaishia njiani

View attachment 3439489
downloadfile-2.png
 
Huyu ponjoro kavimbiwa na dili la kuuza chanjo ya Corona, lazima abwabwaje ili kuendelea kula mema ya nchi. Rais mpumbavu kazungukwa na wapumbavu wenzie. Stupid
 
Back
Top Bottom