Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji katika harambe ya kuchangia kampeni za CCM ambayo inakwenda kwajina la CCM gala diner amesema Rais Samia asisumbuliwe na kinambimbio ambapo awanajambo bali wivu tu.
Rais Samia usisumbuliwe na wakina mbiombio awanajambo bali ni witu tu, awakutegemea kumaliza kazi iliachwa na marehemu Magufuli na kuongeza walio utaishia njiani
View attachment 3439489
Eeeeeeeh huyu jamaa kapona sialikuwa na uvimbe tumboni huyu.
Mone talkEeeeeeeh huyu jamaa kapona sialikuwa na uvimbe tumboni huyu.