Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Sasa maneno ya pole pole na mama na kampeni zake kuna mahusiano ganiWewe babu unaongea kabisa kwa ujasiri! Yani Polepole ajifiche tu acha uchawa wako huo.
Umri wako ulipaswa kuongea kwa hekima. Usiropoke kama unavyoropoka ukiwa unaiongelea Simba
==================
Mfanyabiashara maarufu nchini, Azim Dewj, amesema kuwa hana imani na taarifa zinazodai kuwa mwanasiasa Humphrey Polepole ametekwa, akieleza kuwa huenda ameamua kujificha kimkakati kutokana na sababu za kisiasa.
Akizungumza katika mahojiano maalum, Dewj alisema kuwa Polepole alikuwa akijaribu kujitokeza mara kwa mara kupitia mitandao ya kijamii lakini hakupata mwitikio mkubwa kutoka kwa wananchi, jambo lililoweza kumfanya aone kama ujumbe wake hauleti matokeo aliyotarajia.
“Sidhani kama Humphrey Polepole ametekwa. Labda ameamua kujificha kimkakati ili kuonekana kama ametekwa. Huenda ni mbinu ya kisiasa baada ya kuona maneno yake hayana mvuto tena, wakati mama Dkt. Samia kila anapokwenda anajaza viwanja,” alisema Dewj.
Huyu mzee msenge sana kwa hiyo hata mwanawe Mo alijeteka.Wewe babu unaongea kabisa kwa ujasiri! Yani Polepole ajifiche tu acha uchawa wako huo.
Umri wako ulipaswa kuongea kwa hekima. Usiropoke kama unavyoropoka ukiwa unaiongelea Simba
==================
Mfanyabiashara maarufu nchini, Azim Dewj, amesema kuwa hana imani na taarifa zinazodai kuwa mwanasiasa Humphrey Polepole ametekwa, akieleza kuwa huenda ameamua kujificha kimkakati kutokana na sababu za kisiasa.
Akizungumza katika mahojiano maalum, Dewj alisema kuwa Polepole alikuwa akijaribu kujitokeza mara kwa mara kupitia mitandao ya kijamii lakini hakupata mwitikio mkubwa kutoka kwa wananchi, jambo lililoweza kumfanya aone kama ujumbe wake hauleti matokeo aliyotarajia.
“Sidhani kama Humphrey Polepole ametekwa. Labda ameamua kujificha kimkakati ili kuonekana kama ametekwa. Huenda ni mbinu ya kisiasa baada ya kuona maneno yake hayana mvuto tena, wakati mama Dkt. Samia kila anapokwenda anajaza viwanja,” alisema Dewj.
Fools are the most reliable capital of political thugs!Wewe babu unaongea kabisa kwa ujasiri! Yani Polepole ajifiche tu acha uchawa wako huo.
Umri wako ulipaswa kuongea kwa hekima. Usiropoke kama unavyoropoka ukiwa unaiongelea Simba
==================
Mfanyabiashara maarufu nchini, Azim Dewj, amesema kuwa hana imani na taarifa zinazodai kuwa mwanasiasa Humphrey Polepole ametekwa, akieleza kuwa huenda ameamua kujificha kimkakati kutokana na sababu za kisiasa.
Akizungumza katika mahojiano maalum, Dewj alisema kuwa Polepole alikuwa akijaribu kujitokeza mara kwa mara kupitia mitandao ya kijamii lakini hakupata mwitikio mkubwa kutoka kwa wananchi, jambo lililoweza kumfanya aone kama ujumbe wake hauleti matokeo aliyotarajia.
“Sidhani kama Humphrey Polepole ametekwa. Labda ameamua kujificha kimkakati ili kuonekana kama ametekwa. Huenda ni mbinu ya kisiasa baada ya kuona maneno yake hayana mvuto tena, wakati mama Dkt. Samia kila anapokwenda anajaza viwanja,” alisema Dewj.
Hawa Ni wa walamba asali na unafikiHuyu mzee ni lofa sana, familia yake si ni victim wa utekaji leo anasahau magumu waliyokuwa wanapitia nakuanza kuja na maneno ya kejeli?
Hili zee ni la kupiga makofi ya shingo kabisa.
Huyu sio mlamba asali, huyu ni ass kisserHawa Ni wa walamba asali na unafiki
Acha kutafuta attention humu, hakuna aliyekukataza kutikioktoba natiki dadekiiiii mniguse sasa nitamuweka mtoto wamtu chezeeni wengine hii kichwa isha expire. ohhhhooo
Sawa katiki.....Avatar yako inaongea yote.Oktoba tukatiki
Kura Yako, haki yako, tujitokeze kupiga kura
SAYNGAYoktoba natiki dadekiiiii mniguse sasa nitamuweka mtoto wamtu chezeeni wengine hii kichwa isha expire. ohhhhooo