GE2025 Azim Dewji: Sidhani kama Humphrey Polepole ametekwa. Labda ameamua kujificha kimkakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hili zee ni puuzi sana. Watekaji chukueni tena Mo labda akili zitamkaa?
 
Qmmk kanji huyu mngese amesahau ndugu yake Mo alipotekwa nakupatikana na Khanga moja
 
Mwepesi wa kusahau mzee pimbi sana,
 
nakumbuka kipindi Mo dew ametekwa wananchibwalipaza sauti sana apatikane!
ila ndio hivyo, Huyu ndie binadamu
 
Huyo mzee aache mambo ya kingese tunamuheshimu sana. Baada ya tarehe 29 tuta boycott bidhaa zao ndio atajua hajui.
 
anawaponza wahindi nchi ikichafuka watakimbia wote! na yeye atauliwaa na wenye hasira
 
Wewe ndiye msemaji wake?
 
Huyu labda!Simba ndio wanamuelewa anaongea nini.

WAngemuuliza kama Mohamed Dewj a.k.a MO, wakati ule naye alijificha au alitekwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…