Azim Dewji: Siku za Nyuma ripoti ya CAG ilikuwa Siri. Wanaochezea pesa za miradi watungiwe Sheria kali

Azim Dewji: Siku za Nyuma ripoti ya CAG ilikuwa Siri. Wanaochezea pesa za miradi watungiwe Sheria kali

Kosa lake nn huyu mzee Azim Dewji? Kusema wezi watungiwe sheria kali!? Au mlitaka atetee wezi?,
Kwamba hakujawahi kuchakatwa report ya CAG mabunge yaliyopita kama ambavyo imefanyika kipindi cha Samia.

Wakati wa Bunge la hayati Samwel SITA ulikuwa standard gani primary school?
 
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kumpongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuruhusu mjadala wa ripoti ya CAG unaoendelea bungeni kuwa mjadala wa wazi, amesema uwazi huo utasaisia wezi wa pesa za miradi kuacha tabia hiyo

Kwa upande mwingine, Azim Dewji amewapongeza wabunge kwa kazi nzuri wanayofanya na ameshauri wabunge kuwasaidia mawaziri kusimamia kwa karibu utekelezaji wa miradi mbalimbali katika majimbo yao ili fedha zisipotee kwani kwa kufanya hivyo hawatakuwa na kazi kubwa ya kuomba ridhaa kwa wananchi kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025

Sambamba na hayo, Mzee Azim Dewji amewashauri wabunge kutunga sheria kali kama vile kutowapa dhamana watakaobainika kuchezea pesa za miradi ya Serikali ili wapate hofu ya kutumia vibaya fedha za miradi ambazo Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassa amepambana kuzitafuta ili wananchi wanufaike kwa kutatuliwa matatizo yao.
 
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kumpongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuruhusu mjadala wa ripoti ya CAG unaoendelea bungeni kuwa mjadala wa wazi, amesema uwazi huo utasaisia wezi wa pesa za miradi kuacha tabia....
Sijamuelewa labda. afu

Mbona ripoti zilikuwa Zinaenda Bungeni Toka enzi za Jakaya ikaja Magu na sasa Mama yetu Samia
 
Nahisi ule mkopo wake 20 billions, anautengenezea mazingira siku aki default
 
Dewji kawa msemaji ehh

Mbona wakati wa jpm alikuwa kimya

Ova
sio kweli labda hufuatilii mambo wewe,hata alipotekwa Mohamed Dewji alikuwa mzungumzaji mkuu mpaka alipopatikana
halafu nashangaa humu watu kujiita Great Thinkers huku mnaacha hoja na kumshambulia mtu(personal attacks) huo sio uGreat Think Bali ni uGreat sink
jitahidini kujikita kwenye hoja!
 
Ukiona mfanyabiashara anasifia sifia serikali ujue ni FISADI KUU
 
Back
Top Bottom