Azimia kwa kulipa kodi miaka 15 nyumbani kwa mkewe

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, yamemkuta Mwanaume mmoja huko nchini Zambia amejikuta anapoteza fahamu baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye mwenye nyumba aliyokuwa analipia kodi kwa miaka 15.

Nyieee hahaha wanawake mnasiri kubwa daah,Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Martin Stampa amepata na maswahibu hayo baada ya kumtambia mke wake kuwa anatafuta mwanamke mwengine mwenye akili na atakaye mpa mawazo ya kimaendeleo zaidi (kuliko mke wake)

Baada ya kauli hiyo mke wake akamwambia kuwa yeye ndiye hana akili maana amekaa kwenye nyumba hiyo kwa miaka 15 akilipa kodi zaidi ya Laki 5 kwa mwezi bila kugundua kuwa alikua anamlipa mke wake (mmiliki wa nyumba).

Unaambiwa kwa miaka yote hiyo mzee baba Stampa alikua akimkabidhi mke wake pesa ili alipe kodi kwa mwenye nyumba kumbe nyumba ni ya mke wake.

Taarifa hiyo ilimshtua sana Stampa jambo ambalo lilipelekea apoteze fahamu.

Daaaah wanaume nahitaji comment zenu hapa juu ya hili nyieeee wanawake mtakuja kuwaua wenza wenu hahaha.

Azimia kwa kulipa kodi miaka 15 nyumbani kwa mkewe
 
Yaani mke wako ananunua kiwanja,

Anaanza ujenzi kimya kimya,

Nyumba inamalizika,

Kisha kwa kutumia janja janja yake anakushawishi kuwa mahali mlipopanga mhame, akikupa sababu anazozijua yeye.

Unajaribu kumweleza haki Yako kiuchumi kuwa hauna pesa ya kuweza kumudu gharama nje ya ulipopanga.

Anakutuliza kisha anakwambia haina shida nyumba mnayohamia ni ya mstaafu mmoja anayeishi nje ya nchi, hivyo Kuna kijana anaisimamia, hivyo ameshaongea naye na malipo ni kama hapo mlipopanga.

Unafikiri Kisha kishingo upande unakubali maana ukikumbuka Wana haki zao, na pia hupendi kumkasirisha, unakubali kuhamia huko makazi mapya.

Baada ya kufika, unagundua kuwa Kila kitu bado ni kipya, unaangalia tiles, gypsum board, wall , unaingia kwenye Kila choo unagundua havijatumika bado, unatingisha kichwa huku maswali yakiwa mengi, Kisha unamuita mkeo , ambaye yuko bize kupanga vyombo vyake kabatini.

Hii nyumba ni mpya kabisa , kumbe haijawahi kaliwa na mtu, unauliza ukijichekesha chekesha maana inavyoonekana mkeo yupo juu kwa namna fulani.

Kisha anakujibu,
Kama nilivyokwambia mwanzo mwenye nyumba hayupo, kajenga kwaajili ya kupangisha na wapangaji ndiyo sisi, Kuna shida gani?

Kwakuwa unampenda mkeo unanyamaza ili maisha yaendelee.
Halafu Kila mkataba ukiisha Kuna kijana anakuja huku akikukoromea na kukutisha kuwa atakutolea vyombo nje kama hulipi Kodi.

Kwa huzuni unamwita mkeo mtete kidogo, kuwa tunafanyaje.

Anajifanya anakuhurumia kuwa kama huna ya mwaka mzima toa hata miezi sita, Kisha yule kijana anajifanya kawaelewa, anapokea pesa Kisha anatokomea zake, kumbe kapangwa na mkeo, (maisha haya)

Siku Ukiwa vizuri unaacha tu Kodi Wala hutaki kujua nani anapokea, si kijana unamjua?

Wanawake MUNGU anawaona.

Maswali ya kujiuliza.

Kama suala kubwa kama hilo kadanganya tena kwa miaka mingi, vipi kuhusu vitu vidogo?

Vipi kuhusu uhalali wa watoto wako?

Vipi kuhusu uaminifu katika ndoa yenu?

Maisha ni hayana formula.
 
Yaani mke wako ananunua kiwanja,

Anaanza ujenzi kimya kimya,

Nyumba inamalizika,

Kisha kwa kutumia janja janja yake anakushawishi kuwa mahali mlipopanga mhame , akikupa sababu anazozijua yeye,

Unajaribu kumweleza haki Yako kiuchumi kuwa hauna pesa ya kuweza kumudu gharama nje ya ulipopanga.

Anakutuliza kisha anakwambia haina shida nyumba mnayohamia ni ya mstaafu mmoja anayeishi nje ya nchi, hivyo Kuna kijana anaisimamia, hivyo ameshaongea naye na malipo ni kama hapo mlipopanga.

Unafikiri Kisha kishingo upande unakubali maana ukikumbuka Wana haki zao, na pia hupendi kumkasirisha, unakubali kuhamia huko makazi mapya.

Baada ya kufika, unagundua kuwa Kila kitu bado ni kipya, unaangalia tiles, gypsum board, wall , unaingia kwenye Kila choo unagundua havijatumika bado, unatingisha kichwa huku maswali yakiwa mengi, Kisha unamuita mkeo , ambaye yuko bize kupanga vyombo vyake kabatini .

Hii nyumba ni mpya kabisa , kumbe haijawahi kaliwa na mtu, unauliza ukijichekesha chekesha maana inavyoonekana mkeo yupo juu kwa namna fulani.

Kisha anakujibu,
Kama nilivyokwambia mwanzo mwenye nyumba hayupo, kajenga kwaajili ya kupangisha na wapangaji ndiyo sisi, Kuna shida gani?

Kwakuwa unampenda mkeo unanyamaza ili maisha yaendelee.
Halafu Kila mkataba ukiisha Kuna kijana anakuja huku akikukoromea na kukutisha kuwa atakutolea vyombo nje kama hulipi Kodi,

Kwa huzuni unamwita mkeo mtete kidogo, kuwa tunafanyaje,

Anajifanya anakuhurumia kuwa kama huna ya mwaka mzima toa hata miezi sita, Kisha yule kijana anajifanya kawaelewa, anapokea pesa Kisha anatokomea zake, kumbe kapangwa na mkeo, (maisha haya)

Siku Ukiwa vizuri unaacha tu Kodi Wala hutaki kujua nani anapokea, si kijana unamjua?.

Wanawake MUNGU anawaona.

Maswali ya kujiuliza,

Daaaaah uliyo yaandika hapa nimesoma kwa makini Sana Jack Daniel hakika sisi Binadam tuzidishe ibada Sana,

Tumuombe Sana MwenyeZi MUNGU atuepushie matatizo haya kadri tuwezavyo tuzidishe maombi
 
Yaani mke wako ananunua kiwanja,

Anaanza ujenzi kimya kimya,

Nyumba inamalizika,

Kisha kwa kutumia janja janja yake anakushawishi kuwa mahali mlipopanga mhame , akikupa sababu anazozijua yeye,

Unajaribu kumweleza haki Yako kiuchumi kuwa hauna pesa ya kuweza kumudu gharama nje ya ulipopanga.

Anakutuliza kisha anakwambia haina shida nyumba mnayohamia ni ya mstaafu mmoja anayeishi nje ya nchi, hivyo Kuna kijana anaisimamia, hivyo ameshaongea naye na malipo ni kama hapo mlipopanga.

Unafikiri Kisha kishingo upande unakubali maana ukikumbuka Wana haki zao, na pia hupendi kumkasirisha, unakubali kuhamia huko makazi mapya.

Baada ya kufika, unagundua kuwa Kila kitu bado ni kipya, unaangalia tiles, gypsum board, wall , unaingia kwenye Kila choo unagundua havijatumika bado, unatingisha kichwa huku maswali yakiwa mengi, Kisha unamuita mkeo , ambaye yuko bize kupanga vyombo vyake kabatini .

Hii nyumba ni mpya kabisa , kumbe haijawahi kaliwa na mtu, unauliza ukijichekesha chekesha maana inavyoonekana mkeo yupo juu kwa namna fulani.

Kisha anakujibu,
Kama nilivyokwambia mwanzo mwenye nyumba hayupo, kajenga kwaajili ya kupangisha na wapangaji ndiyo sisi, Kuna shida gani?

Kwakuwa unampenda mkeo unanyamaza ili maisha yaendelee.
Halafu Kila mkataba ukiisha Kuna kijana anakuja huku akikukoromea na kukutisha kuwa atakutolea vyombo nje kama hulipi Kodi,

Kwa huzuni unamwita mkeo mtete kidogo, kuwa tunafanyaje,

Anajifanya anakuhurumia kuwa kama huna ya mwaka mzima toa hata miezi sita, Kisha yule kijana anajifanya kawaelewa, anapokea pesa Kisha anatokomea zake, kumbe kapangwa na mkeo, (maisha haya)

Siku Ukiwa vizuri unaacha tu Kodi Wala hutaki kujua nani anapokea, si kijana unamjua?.

Wanawake MUNGU anawaona.

Maswali ya kujiuliza,

Kama suala kubwa kama hilo kadanganya tena kwa miaka mingi, vipi kuhusu vitu vidogo?

Vipi kuhusu uhalali wa watoto wako?

Vipi kuhusu uaminifu katika ndoa yenu?

Maisha ni hayana formula.
Dah imeuma sana umeandika kwa hisia bro.
 
Tofauti ni muda wa uchumwaji Mali hizo hiyo
Sijakuelewa unamaanisha mwanamke alijenga kabla ya ndoa? Kama ni hivyo je hata mm nikijenga mjengo wangu nikavuta mke tukajatengana baadae je sheria haitanibana kugawana mali kwa sababu muda wa uchumaji mali ni tofauti?
 
Huyo mwanamke ana akili hao ndio wanawake wa kuoa kaona mmewe hana akili ya maisha ye kajitahidi kujenga nyumba. Na usikute hizo pesa za pango zote zipo fixed account miaka 15 ni milioni 90.

Mme unapewa ukafanyie biashara.
Wapo wanaume wapumbavu wengi wameokolewa na wake zao wao ni ulevi tu
 
Ndio mwamba inabidi atembelee hapo

Wanagawana fresh kabisa provided Chet cha ndoa kipo
Unagawana mali na mwanamke kama wewe sio mpambanaji,kama umezaa nae unamuachia tu unaanza upya.

Unaziweka urithi watoto then unapeleka document government custod kwa wosia maalumu mali za watoto wakabidhiwe ikifika umri fulani,mama yao ni msimamizi haziruhusiwi kuuzwa hadi unaweka specific umri ambao watoto watakuwa wamejitambua.

Atakaeuza na atakae nunua imekula kwake.
 
Ishini kikachero wanetu .
Hisia weka mfuko wa nyuma unapokuwa na Jambo la kumchimba mtu
 
Huyo mwanamke ana akili hao ndio wanawake wa kuoa kaona mmewe hana akili ya maisha ye kajitahidi kujenga nyumba. Na usikute hizo pesa za pango zote zipo fixed account miaka 15 ni milioni 90.
Mme unapewa ukafanyie biashara.
Wapo wanaume wapumbavu wengi wameokolewa na wake zao wao ni ulevi tu
Duuuuu aiseee kweli wanaume tuna kazi........ kwa hiyo huyo mwanamke ana akili?

Ila ndugu zangu kama type zenyewe za wanawake ndio hawa ,bora mnyetuke.
 
Back
Top Bottom