Azimia kwa kulipa kodi miaka 15 nyumbani kwa mkewe

Azimia kwa kulipa kodi miaka 15 nyumbani kwa mkewe

Sijakuelewa unamaanisha mwanamke alijenga kabla ya ndoa? Kama ni hivyo je hata mm nikijenga mjengo wangu nikavuta mke tukajatengana baadae je sheria haitanibana kugawana mali kwa sababu muda wa uchumaji mali ni tofauti?
Mkuu mtagawana mlivyochuma pamoja tu alivyokukutanavya ni vyako
 
Ukiona una mwanamme haeleweki ni bora ufanye mambo yako,mfano unakuta limwanaume linawaza kununua gari ya kutembelea huku halina nyumba au biashara nyingine(wengine wananunua magari ya biashara ye ananunua la kutambia kwa ndugu zake) unaona mipango yake ni ya kijingajinga kazi yake kutaka kuwafurahisha watu my friend kama we ni mwanamke badala ya kugombana naye kwamba kwa nini hafanyi vitu vya maendeleo we endelea kuwekeza kivyako,utanishukuru badae
Acha makasiriko nyumba sio gari, tunaanza na gari nyba baadae, kama we wakiume utaelewa ila kama wa kike pambana na wanao
 
Nilichokuja kugundua ni kwamba Hawa viumbe tunafikiri kuwa hawana akili na maboya FULANI!!

Ki ukweli Katika huo uboya kuna akili kubwa Sana imejificha ndani yake!!

Nipo nae hapa aliniingiza kingi tangu tukiwa chuo pale!Mi nilijua napiga tu nasepa loh kumbe mwenzangu alini skauti miaka miwili mi sijui kinachoendelea siku alipoibuka nikamuona ona tu kwakuwa anajipendekeza na Sina mapenzi hapa chuoni ACHA nipite coz nipo semista ya Mwisho namaliza chuo nasepa!kumbe kujipanga na kajua kabisa mi sio mtu wa kutekeleza damu YANGU sijui alijuaje!Akabeba na mimba!!Narudi graduation ananiambia mimba ina miezi mitatu!nilichanganyikiwa!kumwambia atoe siwezi,kumtelekeza siwezi!!Hadi leo nipo nipo tu nae Huwa siamini nini kilitokea!!

Alipiga hesabu za mbali sana!!Ambazo mi sikuzijua kifupi kanipangia Maisha ya kuishi Sasa bila mi kujua!!!

Waoneni tu hao wako MAKINI katika tunaouita uboya wao!!
 
Formula mpya ya kuishi na wanawake ukiijua hii itakupunguzia maumivu na kujua uishi nao vipi " Chako mwanaume chake na mtagawana ila cha mwanamke ni chake peke yake na hakikuhusu ana haki ya kukupa au kukunyima "
 
Sheria si inasema mkiachana mume na mke mali zote mnagawana 50/50 au???
Kama kuna nchi wanatumia sheria hii ni ya kidhalimu.Uislamu haukubali mambo kama hayo.
 
Chai hii... na kama ni kwel bas mwanaume ni mjinga...
 
HUYU jamaa ni Mwanaume ni mtu timamu kabisa na yupo kwenye ndoa anaishi Kangemi Nchini Kenya, akili yake imeyumba(amedata) kabisa baada ya kugundua nyumba aliyokuwa akilipa kodi Kshs 13,500 (Tshs 270,000) kwa kila mwezi, kwa mda wa miaka 15 ni Nyumba ya MKE wake [emoji849].

Je ungekuwa wewe ungefanyanyeje...

FB_IMG_1661886810144.jpg
 
Huyo baba azimie tani yake na akizinduka aende kwa mwanamke wake mwenye akili. Vinginevyo atalimia meno.
 
Formula mpya ya kuishi na wanawake ukiijua hii itakupunguzia maumivu na kujua uishi nao vipi " Chako mwanaume chake na mtagawana ila cha mwanamke ni chake peke yake na hakikuhusu ana haki ya kukupa au kukunyima "
Kwa formula hii tutawazalisha single maza wengi sana
 
Back
Top Bottom