On This One
JF-Expert Member
- Nov 30, 2021
- 532
- 469
Ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, yamemkuta Mwanaume mmoja huko nchini Zambia amejikuta anapoteza fahamu baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye mwenye nyumba aliyokuwa analipia kodi kwa miaka 15.
Mkuu mtagawana mlivyochuma pamoja tu alivyokukutanavya ni vyakoSijakuelewa unamaanisha mwanamke alijenga kabla ya ndoa? Kama ni hivyo je hata mm nikijenga mjengo wangu nikavuta mke tukajatengana baadae je sheria haitanibana kugawana mali kwa sababu muda wa uchumaji mali ni tofauti?
Acha makasiriko nyumba sio gari, tunaanza na gari nyba baadae, kama we wakiume utaelewa ila kama wa kike pambana na wanaoUkiona una mwanamme haeleweki ni bora ufanye mambo yako,mfano unakuta limwanaume linawaza kununua gari ya kutembelea huku halina nyumba au biashara nyingine(wengine wananunua magari ya biashara ye ananunua la kutambia kwa ndugu zake) unaona mipango yake ni ya kijingajinga kazi yake kutaka kuwafurahisha watu my friend kama we ni mwanamke badala ya kugombana naye kwamba kwa nini hafanyi vitu vya maendeleo we endelea kuwekeza kivyako,utanishukuru badae
Kama kuna nchi wanatumia sheria hii ni ya kidhalimu.Uislamu haukubali mambo kama hayo.Sheria si inasema mkiachana mume na mke mali zote mnagawana 50/50 au???
Kama mke alijenga wakiwa pamojaNdio mwamba inabidi atembelee hapo
Wanagawana fresh kabisa provided Chet cha ndoa kipo
Halafu hakupi hata mawazo ya maendeleo kuwa mjenge ya kwenu kuepuka kupanga.Daaaaah uliyo yaandika hapa nimesoma kwa makini Sana Jack Daniel hakika sisi Binadam tuzidishe ibada Sana,
Tumuombe Sana MwenyeZi MUNGU atuepushie matatizo haya kadri tuwezavyo tuzidishe maombi
Kwa formula hii tutawazalisha single maza wengi sanaFormula mpya ya kuishi na wanawake ukiijua hii itakupunguzia maumivu na kujua uishi nao vipi " Chako mwanaume chake na mtagawana ila cha mwanamke ni chake peke yake na hakikuhusu ana haki ya kukupa au kukunyima "