William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
-
- #441
Ukiacha tabia ya mtu mmoja mmoja, Azimio la Arusha ni Azimio la UTU. Msingi sahihi wa Ubepari ni PESA. Mapebari wanaamini hivyo na Mataifa yote yenye "Nguvu" yanakodolea macho raslimali zetu ili kutunisha mifuko yao! Wanatumia wananchi wenye uchu, kutimiza hayo. Katika sura hiyo si kushindwa kwa azimio la arusha bali ni kukosekana kwa uadilifu miongoni mwetu. Najua viongozi bora wapo. Ni swala la muda and every thing will unfold. TAKE CARE @ William.
- Fair and balanced analysis, SALUTE!
William.
...First things first. Much respect!The French socialism is one of its kinds, and I am not sure if its possible to implement it in a poor country like ours for one fundamental reason. Its based on the concept of a welfare state which started in German and spread to other industrialized countries in Europe in 19 century. France and other countries there have run and continued to perfect this concept for almost 100 years. Its become part of their traditions or social DNA. Even the rights (capitalists) have taken pains to preserve it. Therefore, regardless of whos in power in France, there are always some sorts of safe nets that help to sooth social imbalance.
...Ubinafsi na ujinga ndio kikwazo kikubwa. Naona itatuchukua muda kufahamu kuwa jamii yenye majadiliano yenye uelewa na yaliyo huru, hutumia nguvu ndogo kusonga mbele kimaendeleo. Kwani, huzaa ubunifu na utayari wa kufanyia kazi mawazo na mbinu mpya.Another point to make about French socialism is the love of intellectuals. This goes back to 19 century social discussions and movements that engulfed Western Europe. I am not sure if CCM or CDM have time for intellectual engagements. What I have read in recent campaigns indicates that personality cult is still the rule of the game.
...We were and are not serious on this one. Kusema tutafanya hiki au kile, halafu tunatanguliza maslahi binafsi mbele, haisaidii kufanikisha lolote. Katika "kilimo kwanza" watu walitanguliza kupiga deals na kuvuna kura kwanza, kabla ya mkulima. And the truth is, it takes a number of years to achieve that tall order. It is not for the faint hearted.Since 70s, Tanzania has tried to emulate green revolution, but the outcome isnt that impressive.
...We have lots and lots of policies and plans, and then some. God knows, they are good. But, the Devil knows why they are not being implemented.the government should devise various policies that spur economic growth and employment.
...Respect!Tumeshindwa kutekeleza misingi ya Azimio la Arusha kutokana na udhaifu huu wa kushindwa kufanyia kazi maandishi. Waliosema ukitaka kumkamata mwafrika weka maarifa kwenye vitabu. Hawakukosea!
Hapo umenena Le Baharia! Ndicho kilichotokea hapo majuzi dhidi ya mawaziri, yaani kubadilishwa kwao kulitokana na baraka za CC.... unatoka kwenye mkondo wa sheria na ku-establish alternative ya sheria matokeo yake ndiop haya tumekwama, kiongozi mwizi kwenda kujadiliwa kwenye vikao vya chama, nonsense!
Willie!
Brother brother - U can lead a Donkey to a river (water) but U can't make it drink!Mkandara,
This is my observation about you on the merits of Azimio la Arusha. It seems to me that you support AD not because it was a good idea, but because it was less evil than what followed afterward. What's worse you think that any person who denounces Azimio la Arusha automatically supports Azimio la Zanzibar or the mediocrity of current administration.
I, personally, think that the best of Tanzanians is not yet to come. The country is still in a very tumultuous transition, and it shouldn't settle for any ideologies that don't work. This includes Azimio la Arusha and whatever followed afterward. In addition, the combination of good intent and the charisma of the leader shouldn't be a barometer for social improvement and economic prosperity. So there's no need to shove Azimio la Arusha into people's throats.
Now with regard to the last paragraph of my early post, let me clarify the matter. In recent years, the debate about AD has been centered on the privatization of state factories. I believe the proponents of Azimio la Arusha who use privatization process to make their points are disingenuous. State factories constituted a smaller part of Azimio la Arusha. The larger part is the villagization of more than 11 million people. So if we want to engage in meaningful discourse, we shouldn't try to sideline the plights of villagers.
Villagers have suffered the most in the history the country, and I really don't understand you when you say U can lead a Donkey to a river (water) but U can't make it drink. Even a capitalist could choose a better narrative to explain why rural policies failed. In the name of economic prosperity, forcing somebody from his homeland isn't leading at all. It's torture and inhuman.
People do work every day! How do we define labour and how is it linked to the market those are totally different question!
Labour using Marx in general terms, warned the danger of making labour a commodity, however, his concern was more on the relationship between labour, accumulation, and distribution, and there he found a worker to be exploited. What you need to understand, of which you pointed quite right, nobody predicted there unemployment will reach to this scale. Concerns then were not the relationship between machine and labour, rather technology was natured to increase productivity. Damn it! We have produced abundant havent we?
This is not surprising, accumulation is core of capitalism and concerns about social services are to make sure the worker produce the labour. So, you only live to work not otherwise. What is very critical here, society is organized around work from education system to social life. Work became part of identity formation, power relations attached to production processes, reproduction and social life. Payment is organized under so called "marginal productivity theory of distribution", meaning what is the output of labour to the economy. So, you are talking about social welfare for unemployment. It has been tried in develop countries, but if you check statistics there is no significant change of those surviving on welfare to attain beyond the welfare state, creating more dependence and numbness to human agency.
So this is a fact, work as we know it is shrinking and decline will continue for a long time. Thanks to Africa, at least we know how to survive without the so called formal work, which should give us significant experience to tell how societies are organized without work. Honestly, we are not the best continent in the world but people have been surviving without work! What structures allows this surviving? But ironically, we are start buying into these ideas of informal economy and entrepreneurship making people believe there is worth out there to just go and get it! This is a shame as there are thousands of people on streets trying to do business, but only few managed to gain success.
My point is simple organizing society through work and money is not working! Yes, the significant of formal work will continue for a long time, but the same is true societies and generations have survived without money exchange for a long time too. There are people even in Tanzania in months they might not make or touch 50,000 a day! Yet they survive, it is sampling amazing! And we are blind to see that!
That is a lame excuse. The last entry of the Christian Bible, Revelation, was probably written 2000 years. Since then many things that have altered the interpretation of the Bible have happened. So we can defend the demise of the Arusha Declaration by looking at how the Bible is rendered by the lives of modern Christians.Kama ulivyosema kuwa AD was restricted to Tanzania, HOwever... Inamaanisha kuwa ni mwongozo wa jamii fulani hivi (Tanzania). Kwa biblia ni mwongozo pia ila wa kidunia zaidi pamoja na kuwa kuna jamii chache zina vyanzo vyao vya miongozo kama waasia. Hiyo ndio ilikuwa point yangu japo pana huo mkanganyiko kiasi. Lakini pamoja na kuwa Biblia na AD vina lengo moja, we are secular state. Hatuwezi kuchukua sheria za kibiblia tuzifanye kuwa mwongozo wa kiserikali. To me the Bible and AD are mutually exclusive though they live side by side like two sides of a coin. Ndio maana nikauliza kama Biblia haifuatwi, ilikuwa na makosa? Same applies to AD. Nami nimejaribu kujieleza, thuogh you are correct as well
Ukiacha tabia ya mtu mmoja mmoja, Azimio la Arusha ni Azimio la UTU. Msingi sahihi wa Ubepari ni PESA. Mapebari wanaamini hivyo na Mataifa yote yenye "Nguvu" yanakodolea macho raslimali zetu ili kutunisha mifuko yao! Wanatumia wananchi wenye uchu, kutimiza hayo. Katika sura hiyo si kushindwa kwa azimio la arusha bali ni kukosekana kwa uadilifu miongoni mwetu. Najua viongozi bora wapo. Ni swala la muda and every thing will unfold. TAKE CARE @ William.
Brother brother - U can lead a Donkey to a river (water) but U can't make it drink!
Labda nikwambie kwa kiswahili, mjadala upate nguvu zaidi kwani niko confo zaidi kwa lugha yangu kufafanua kitu. Mkuu, ni kwamba kila kitu kinatanguliwa na NIA.. La kutazama hapo juu, ni yule anayepeleka punda kwenda kunywa maji mtoni (vijiji vya Ujamaa) huwa ana nia gani, nzuri au mbaya hata kama Punda hawataki kunywa maji wanataka kuendelea kula nyasi hawezi kulazimisha punda wanywe maji. Ni bora wao wafikirie (kama wanaweza kufikiri) ile safari waloichukua toka kwenye nyasi hadi mtoni kabla ya kukataa kabisa kunywa maji na huwezi sema kutokunywa maji basi ni failure ya mtu alowapeleka Punda mtoni.
Tatizo la Vijiji vya Ujamaa ni kwamba tulipelekwa kwenye mto wa maji tukakataa kuyanywa. Tukitaka kuendelea kula nyasi hadi shibe. Sawa tulikataa, lakini ile safari ya kurudi kwenye nyasi tulihitaji maji mwilini, hivyo tunarudi kwenye nyasi wakati tuna kiu ya kuua, hivyo tuna mchanganyiko wa njaa na kiu ndio maana tunamalizana kwenye kipande cha nyasi na maji. - To Refresh your mind here.
Makosa pekee ya Azimio la Arusha ni Ukomunist fulani ulokuwemo, ile kuweka njia zote za uzalishaji chini ya serikali jambo ambalo halipo ktk hata mila na desturi za kiafrika. maana watu walikuwa na mali zao mashamba yao na hata ardhi zao kwa mipaka. Kama tungeweza kuliepuka baada ya kutaifisha mali za wageni wakoloni, kisha mali hizo zingewekwa mikononi mwa wananchi kwa kufuata misingi ya mila na tamaduni zetu pengine ingeleta picha tulitakayo ya U Capitalist, lakini tungeweza vipi kuifanya kazi hiyo ikiwa mali zote zilikuwa za wageni kwanza?...
Mwaka 1992 ndio ulikuwa mwaka ambao tungeweza yaweka mashirika yote ya serikali ktk wallstreet yetu DSE yakaendeshwa kama mashirika binafsi na watu wakanunua hisa zao. Mwenye uwezo akanunua hadi asilimia 50, lakini sio kuyafilisi kwa kutumia neno la kiingereza Privatization wakati tunayafilisi ili kutajirisha viongozi wale wale waliotaka utajiri huo baada ya Uhuru (kula nyasi). Miiko na maadili kuondolewa ndilo kosa kubwa zaidi ya yuote yaliyotangulia. Uongozi bora hauwezi patikana pasipo miiko na maadili.
...Nia ya Baba wa Taifa ilikuwa njema kabisa -kuwawezesha wa-Tanzania wapate maendeleo mapema- ila haikutekelezwa kwa umakini, kwani, kwa nionavyo mimi -with benefit of hindsight- ilibidi wananchi washirikishe kwa kiasi kwenye mipango hiyo, kwa kutoa maoni na ushauri wao.kila kitu kinatanguliwa na NIA. La kutazama hapo juu, ni yule anayepeleka punda kwenda kunywa maji mtoni (vijiji vya Ujamaa) huwa ana nia gani, nzuri au mbaya hata kama Punda hawataki kunywa maji wanataka kuendelea kula nyasi hawezi kulazimisha punda wanywe maji. Ni bora wao wafikirie (kama wanaweza kufikiri) ile safari waloichukua toka kwenye nyasi hadi mtoni kabla ya kukataa kabisa kunywa maji na huwezi sema kutokunywa maji basi ni failure ya mtu alowapeleka Punda mtoni.
...Tatizo halikutokana na wananchi pekee. Mpango huu haukutekelezwa vizuri. Je, tuna uhakika kule walikohamishiwa kulikuwa na vyanzo vya maji, vya kutosha?. Je, wananchi walikuwa na chakula au waliweza kulima from the word go? Ile ardhi ambayo ilibidi iendelezwe, iliwekewa mkakati gani? Ilikuwa bora kama ile waliyokuwa nayo? Ilihitaji muda gani kuanza kuzalisha kama ile ya awali.Tatizo la Vijiji vya Ujamaa ni kwamba tulipelekwa kwenye mto wa maji tukakataa kuyanywa. Tukitaka kuendelea kula nyasi hadi shibe. Sawa tulikataa, lakini ile safari ya kurudi kwenye nyasi tulihitaji maji mwilini, hivyo tunarudi kwenye nyasi wakati tuna kiu ya kuua, hivyo tuna mchanganyiko wa njaa na kiu ndio maana tunamalizana kwenye kipande cha nyasi na maji.
...Ni kweli kulikuwa na makosa katika kutaifisha mali. Lakini, nia ilikuwa nzuri. Nyerere alilenga kuharakisha africanization na kutekeleza miradi kadhaa ya maendeleo ili kuwainua wa-Tanzania.Makosa pekee ya Azimio la Arusha ni Ukomunist fulani ulokuwemo, ile kuweka njia zote za uzalishaji chini ya serikali jambo ambalo halipo ktk hata mila na desturi za kiafrika. maana watu walikuwa na mali zao mashamba yao na hata ardhi zao kwa mipaka. Kama tungeweza kuliepuka baada ya kutaifisha mali za wageni wakoloni, kisha mali hizo zingewekwa mikononi mwa wananchi kwa kufuata misingi ya mila na tamaduni zetu pengine ingeleta picha tulitakayo ya U Capitalist, lakini tungeweza vipi kuifanya kazi hiyo ikiwa mali zote zilikuwa za wageni kwanza?
...Tusingeweza. Huwezi, katika hali ya kawaida, kuandikisha mashirika yenye madeni makubwa -ambayo mengine thamani yake inafutwa na hayo madeni- katika soko la hisa. Nafahamu kwamba, yapo ambayo yalihitaji kufanyiwa kazi kidogo ili yafae kuwekwa kwenye soko la hisa.Mwaka 1992 ndio ulikuwa mwaka ambao tungeweza yaweka mashirika yote ya serikali ktk wallstreet yetu DSE yakaendeshwa kama mashirika binafsi na watu wakanunua hisa zao. Mwenye uwezo akanunua hadi asilimia 50, lakini sio kuyafilisi kwa kutumia neno la kiingereza Privatization wakati tunayafilisi ili kutajirisha viongozi wale wale waliotaka utajiri huo baada ya Uhuru (kula nyasi). Miiko na maadili kuondolewa ndilo kosa kubwa zaidi ya yuote yaliyotangulia. Uongozi bora hauwezi patikana pasipo miiko na maadili.
Zakumi.. Ahahahaha! now you becoming an Indian who takes the expression of a phraise Simba mwenda kimya ndio mla nyama as a slow moving Lioness has to be sick. For such mindset Europe and America would be less populated than the jungle of Brazil, Ngorongoro or Congo, The most vegetation areas are less populated.Your metaphor doesn't work here. When you lead the donkey to the river, you know exactly there is water there. In addition, on the water banks, there's plenty of vegetation. So any donkey will be please to go there because if the animal doesn't want to drink, it will have plenty of food to eat.
On the contrary, Ujamaa villages offered peasants imaginary hope. Upon their arrival, there was almost nothing that the peasants could use immediately to empower their lives. They had to start all over again. They had to build their new dwellings, and prepare their farms. I am not sure if the process of moving to a new location is the same as what have described above.
I have feelings that you were born with a silver spoon in your mouth and you don't know what it entails to move your family to unfamiliar location and start everything from scratch. Please put your feet in peasants' shoes and feel their pains.
Now concerning the reference you have provided to me, I haven't read the work but I think it won't change the reality. I am Tanzanian. I lived it.
Zakumi.. Ahahahaha! now you becoming an Indian who takes the expression of a phraise Simba mwenda kimya ndio mla nyama as a slow moving Lioness has to be sick. For such mindset Europe and America would be less populated than the jungle of Brazil, Ngorongoro or Congo, The most vegetation areas are less populated.
What you fail to understand is the notion that its human development we talking about not Things. Ujamaa villages invested in people, empowering them thus developing human capabilities free to range of things they can do or be in life. A lot have been written on Ujamaa villages, I dont have to go back and forth explaining what has already been said. But one thing for sure, Ujamaa villages were established as a basic capability for human development, like many cities or town in western world didn't fall from heaven, they were built from the ground with nothing underneath, that people can have access to the resources and social services needed. Without our cities, towns and villages many choices are simply not available, and many opportunities in life remain inaccessible.
Zakumi a grew up in Kibara, raised by my aunt a very poor family.. as a matter od fact born with a silvercup for hot corn/millet porridge (not Milk or Cerelac power) as young as two month old. imagine that.. so plse don't judge me from this discussion esp. you how never lived in or even have a glimp of Ujamaa villages. For Your info I did live in Ujamaa village in Bulamba, had my own one hectare of Cotton farming. I am talking from experience not reading script from Professors who studies the aftermath.
- Peace
U said:- "Independence is to allow people to make their own decisions and not to have a government of indigenous autocrats". Nigger pleeeease! give me one country whereby people make decisions not subjected to their own government authority or jurisdiction?. If so, where does - No one is above the law stands?. Independent also means not rely on aid and support - are we?.. My guess u kinder confused 'cause it's always been - The government for the people. I wonder, who brain washed u 'cause I keep on repeating myself on the same issue. I was in those villages You weren't, so was the professor and reseachers of the aftermath.Mkandara,
I think JF is a time travelling machine. It has reset this thread to May 11, 2012. This is just fantastic and pure class. We demand excellence from our leaders, but we are the last to exercise it.
Anyway, in this post you try so hard to use the unwillingness of people to cooperate to justify government's failures. However, you have forgotten that the real purpose of independence is to allow people to make their own decisions and not to have a government of indigenous autocrats. So Tanzanians had the rights to refuse to join Ujamaa Villages.
In addition, Ujamaa villages didn't empower Tanzanian people because even though they didn't have fancy education from red bricks universities, they knew exactly how to extract the best from their surroundings. So joining Ujamaa villages wasn't their problem because they neither asked nor craved for it.
So you and your beloved philosopher should have understood better that you can't just knock people's doors and tell them what is better for them. As they say here charity starts at home, and you should have started those experiments in your home villages, and see what would have happened.
Ujamaa village wasn't a new concept on the planet earth. In 1930s and 1950s, Russians and Chinese tried to use the same approach, and the cost of human lives and personal properties was extremely high, and I don't know why do you think that Nyerere would have pulled some miracles?
Now concerning your imaginary humble beginning, it wasn't humble at all. This is because if the life of your aunt was similar to that of other villagers, you shouldn't consider her poor.
Mkuu Eric, hakuna mshabiki wa AA hapa isipokuwa tunazungumzia kile mnachodai nyie kwamba hakiwezekani maana hakuna kitu kisichowezekana ndani ya jua, isipokuwa kwa wale waliopoteza tumaini.Tatizo la washabiki wa AA nadhani ni kudhani what Nyerere wrote is being challenged rather than the practicability of the declaration. Amna mtu asietaka tueshimiene na kuwe na hutu kwenye jamii its just that the economical approach through the AD is a fantasy.
Labda kwa sababu tumejaza viongozi vilaza at the moment in time tunadhani ni wachumi imara vilevile, jamaa wanaboronga but that has nothing to do with capitalism or even socialism. Hata kama tungekuwa chini ya Azimio la Arusha chini ya uongozi wa sasa wangetafuta namna tu ya kuboronga hawa jamaa, licha ya maadili ya uongozi chini ya AA. Maana hata katiba ina maadili yasioheshimiwa.
Kwa maana hiyo its best we look at these things economically and the best way to achieve results kuliko ushabiki tu usio na kichwa wala miguu. Leave aside the politics and we should look at the realistic practibality. Maana siasa si mgando mambo yanabadilika kwenye dunia na jinsi ya kufanya mambo vilevile yanabadilika.
Mfano leo uingereza inajikuta kwenye dunia ya leo bila ya makoloni yake, kutumia uchumi wake tu pekee(resources za kuweza kukuza uchumi within) haiwezi tena simama as a super power na as time goes by those with the right resources to propel growth are not just catching up but bypassing them and no longer need be influenced by them. ndio maana sasa wana-hamisha nguvu kwenye influential bodies such as them IMF, UN na wazushi wengine.
Kwa maana hiyo sio watu wanapinga azimio la AA hila hali halisi ya uzalishaji dunia ya leo na siasa pia inataka izingatie mazingira yake na sera ndio utungiwa hapo. Bearing those in mind government intervention is necessary for more than one reason, maelezo yanataka mtu ambae kweli anapekua vitabu vya siasa ama sivyo tutatoleana mifano sijui ya wapi without political rationale. I got the feeling sitoeleweka.
CIAO im taking a three month break i got fools to sort out for good. Nilikuwepo.