Azimio La Arusha: Why We Were Dead Wrong!

Azimio La Arusha: Why We Were Dead Wrong!

Ukiacha tabia ya mtu mmoja mmoja, Azimio la Arusha ni Azimio la UTU. Msingi sahihi wa Ubepari ni PESA. Mapebari wanaamini hivyo na Mataifa yote yenye "Nguvu" yanakodolea macho raslimali zetu ili kutunisha mifuko yao! Wanatumia wananchi wenye uchu, kutimiza hayo. Katika sura hiyo si kushindwa kwa azimio la arusha bali ni kukosekana kwa uadilifu miongoni mwetu. Najua viongozi bora wapo. Ni swala la muda and every thing will unfold. TAKE CARE @ William.

- Fair and balanced analysis, SALUTE!

William.
 
- Fair and balanced analysis, SALUTE!

William.

I do not see the logic behind your comment relative to your thoughts on AD. If the problem is lack of integrity and loyalty, how on earth these could be handled within the realm of capitalism? With reference to the CAG report and current saga within ministerial positions, how do you defend your ideology?
 
Azimio la Arusha halikuwa na kasoro! Na halijashindwa lenyewe limefanywa lishindwe,(lipo hai, ila tu limekosa watekelezaji) kwa kuwa lilikosa watekelezaji (waliopewa dhamana).

"UKWELI NI MANTIKI, HAUWEZI KUFA HATA SIKU MOJA, ILA TU UTAKIMBIWA NA WAONGO, na SIKU IPO WATAKAPOUJUTIA NA KUURUDIA, huwezi kupingana na ukweli!

Tujiulize.....
Nani anapinga, na kusema kuwa dhana ya kujitegemea ni upuuzi? Nani yuko radhi kuona familia yake inahudumiwa na kufanyiwa maamuzi na mwanaume wa nyumba jirani?

Je, dhana ya kujitegemea ni mbaya? Wapi ilikokiuka? Je, huo sio msingi mkuu wa AA? Kwanini tupuuze msingi mkuu na wenye mantiki wa azimio, kwa kuona kasoro ndogondogo tu ambazo mnashindwa hata kuzitetea?

Je, AZ kweli linaweza kutufikisha kwenye kujitegemea? Ni ndoto gani tunazoota?

Kwanza halikuundwa na sisi wenyewe, ila tumeshinikizwa kulipokea kwa kuhofu kula ugali nyumbani baada ya "ahadi tu" ya kula wali ugenini, ona sasa tunavyolishwa pumba. Mara wameiba twiga, mara almasi, mara samaki, mara wamelawiti ndugu yetu alafu wameachiwa wameondoka, mara dhahabu, na upuuzi mwingine chungu zima. Tamaa tu ya wachache, wakatukwepesha kukanyaga majivu ya moto kwa nusu karne, hatimaye wametuingiza motoni tunakopita milele, kipi bora? Inauma sana!

Azimio lilishaanza kuota mizizi mioyoni mwetu, taratibu kila mtu angelielewa, tungeliishi sote, hata ingekuwa kwa gharama ya damu kiasi gani, ila ingekuwa kwa ajili ya watoto wetu tusingejali! Ona sasa, jasho letu na damu yetu ni kafara kwa wezi wa madini yetu, wanyama wetu, aridhi yetu, nguvu na utu wetu. Ni laana kubwa kiasi gani hii, tumemuhasi Mungu wetu, na kugeukia miungu ya wageni, tunazikwa hai sasa na kuangamia! Afrika ni taifa teule, Mungu wetu anaita sasa!

Adui wa kwanza wa mtu, ni nafsi yake mwenyewe. Nafsi zetu zimekiuka urafiki na undugu nasi, turudishe undugu huu, ili tumshinde adui namba mbili....

MUNGU WETU ANAITA!
 
The French socialism is one of its kinds, and I am not sure if it’s possible to implement it in a poor country like ours for one fundamental reason. It’s based on the concept of a welfare state which started in German and spread to other industrialized countries in Europe in 19 century. France and other countries there have run and continued to perfect this concept for almost 100 years. It’s become part of their traditions or social DNA. Even the rights (capitalists) have taken pains to preserve it. Therefore, regardless of who’s in power in France, there are always some sorts of safe nets that help to sooth social imbalance.
...First things first. Much respect!

...Many intellectuals believe institutions can be copied, but, one has to be very careful. And here comes the issue of localization, if you may. Or, at best trial and error and learning by mistakes, especially ones made by others .
Another point to make about French socialism is the love of intellectuals. This goes back to 19 century social discussions and movements that engulfed Western Europe. I am not sure if CCM or CDM have time for intellectual engagements. What I have read in recent campaigns indicates that personality cult is still the rule of the game.
...Ubinafsi na ujinga ndio kikwazo kikubwa. Naona itatuchukua muda kufahamu kuwa jamii yenye majadiliano yenye uelewa na yaliyo huru, hutumia nguvu ndogo kusonga mbele kimaendeleo. Kwani, huzaa ubunifu na utayari wa kufanyia kazi mawazo na mbinu mpya.
 
Since 70s, Tanzania has tried to emulate green revolution, but the outcome isn’t that impressive.​
...We were and are not serious on this one. Kusema tutafanya hiki au kile, halafu tunatanguliza maslahi binafsi mbele, haisaidii kufanikisha lolote. Katika "kilimo kwanza" watu walitanguliza kupiga deals na kuvuna kura kwanza, kabla ya mkulima. And the truth is, it takes a number of years to achieve that tall order. It is not for the faint hearted.
 
the government should devise various policies that spur economic growth and employment.
...We have lots and lots of policies and plans, and then some. God knows, they are good. But, the Devil knows why they are not being implemented.

...We need a different breed of leaders, who are going to put things into shape.
 
... unatoka kwenye mkondo wa sheria na ku-establish alternative ya sheria matokeo yake ndiop haya tumekwama, kiongozi mwizi kwenda kujadiliwa kwenye vikao vya chama, nonsense!

Willie!
Hapo umenena Le Baharia! Ndicho kilichotokea hapo majuzi dhidi ya mawaziri, yaani kubadilishwa kwao kulitokana na baraka za CC.

Nitapingana na hoja zako kadhaa, lakini kwa hoja hii uko sahihi. Azimio la Arusha halikuwa na meno kisheria kuwabana wahujumu uchumi.
 
Mkandara,
This is my observation about you on the merits of Azimio la Arusha. It seems to me that you support AD not because it was a good idea, but because it was less evil than what followed afterward. What's worse you think that any person who denounces Azimio la Arusha automatically supports Azimio la Zanzibar or the mediocrity of current administration.

I, personally, think that the best of Tanzanians is not yet to come. The country is still in a very tumultuous transition, and it shouldn't settle for any ideologies that don't work. This includes Azimio la Arusha and whatever followed afterward. In addition, the combination of good intent and the charisma of the leader shouldn't be a barometer for social improvement and economic prosperity. So there's no need to shove Azimio la Arusha into people's throats.

Now with regard to the last paragraph of my early post, let me clarify the matter. In recent years, the debate about AD has been centered on the privatization of state factories. I believe the proponents of Azimio la Arusha who use privatization process to make their points are disingenuous. State factories constituted a smaller part of Azimio la Arusha. The larger part is the villagization of more than 11 million people. So if we want to engage in meaningful discourse, we shouldn't try to sideline the plights of villagers.

Villagers have suffered the most in the history the country, and I really don't understand you when you say U can lead a Donkey to a river (water) but U can't make it drink. Even a capitalist could choose a better narrative to explain why rural policies failed. In the name of economic prosperity, forcing somebody from his homeland isn't leading at all. It's torture and inhuman.
Brother brother - U can lead a Donkey to a river (water) but U can't make it drink!

Labda nikwambie kwa kiswahili, mjadala upate nguvu zaidi kwani niko confo zaidi kwa lugha yangu kufafanua kitu. Mkuu, ni kwamba kila kitu kinatanguliwa na NIA.. La kutazama hapo juu, ni yule anayepeleka punda kwenda kunywa maji mtoni (vijiji vya Ujamaa) huwa ana nia gani, nzuri au mbaya hata kama Punda hawataki kunywa maji wanataka kuendelea kula nyasi hawezi kulazimisha punda wanywe maji. Ni bora wao wafikirie (kama wanaweza kufikiri) ile safari waloichukua toka kwenye nyasi hadi mtoni kabla ya kukataa kabisa kunywa maji na huwezi sema kutokunywa maji basi ni failure ya mtu alowapeleka Punda mtoni.

Tatizo la Vijiji vya Ujamaa ni kwamba tulipelekwa kwenye mto wa maji tukakataa kuyanywa. Tukitaka kuendelea kula nyasi hadi shibe. Sawa tulikataa, lakini ile safari ya kurudi kwenye nyasi tulihitaji maji mwilini, hivyo tunarudi kwenye nyasi wakati tuna kiu ya kuua, hivyo tuna mchanganyiko wa njaa na kiu ndio maana tunamalizana kwenye kipande cha nyasi na maji. - To Refresh your mind here.

Makosa pekee ya Azimio la Arusha ni Ukomunist fulani ulokuwemo, ile kuweka njia zote za uzalishaji chini ya serikali jambo ambalo halipo ktk hata mila na desturi za kiafrika. maana watu walikuwa na mali zao mashamba yao na hata ardhi zao kwa mipaka. Kama tungeweza kuliepuka baada ya kutaifisha mali za wageni wakoloni, kisha mali hizo zingewekwa mikononi mwa wananchi kwa kufuata misingi ya mila na tamaduni zetu pengine ingeleta picha tulitakayo ya U Capitalist, lakini tungeweza vipi kuifanya kazi hiyo ikiwa mali zote zilikuwa za wageni kwanza?...

Mwaka 1992 ndio ulikuwa mwaka ambao tungeweza yaweka mashirika yote ya serikali ktk wallstreet yetu DSE yakaendeshwa kama mashirika binafsi na watu wakanunua hisa zao. Mwenye uwezo akanunua hadi asilimia 50, lakini sio kuyafilisi kwa kutumia neno la kiingereza Privatization wakati tunayafilisi ili kutajirisha viongozi wale wale waliotaka utajiri huo baada ya Uhuru (kula nyasi). Miiko na maadili kuondolewa ndilo kosa kubwa zaidi ya yuote yaliyotangulia. Uongozi bora hauwezi patikana pasipo miiko na maadili.
 
People do work every day! How do we define labour and how is it linked to the market those are totally different question!
Labour using Marx in general terms, warned the danger of making labour a commodity, however, his concern was more on the relationship between labour, accumulation, and distribution, and there he found a worker to be exploited. What you need to understand, of which you pointed quite right, nobody predicted there unemployment will reach to this scale. Concerns then were not the relationship between machine and labour, rather technology was natured to increase productivity. Damn it! We have produced abundant haven’t we?

This is not surprising, accumulation is core of capitalism and concerns about social services are to make sure the worker produce the labour. So, you only live to work not otherwise. What is very critical here, society is organized around work – from education system to social life. Work became part of identity formation, power relations attached to production processes, reproduction and social life. Payment is organized under so called "marginal productivity theory of distribution", meaning what is the output of labour to the economy. So, you are talking about social welfare for unemployment. It has been tried in develop countries, but if you check statistics there is no significant change of those surviving on welfare to attain beyond the welfare state, creating more dependence and numbness to human agency.

So this is a fact, work as we know it – is shrinking and decline will continue for a long time. Thanks to Africa, at least we know how to survive without the so called formal “work”, which should give us significant experience to tell how societies are organized without work. Honestly, we are not the best continent in the world but people have been surviving without work! What structures allows this surviving? But ironically, we are start buying into these ideas of informal economy and entrepreneurship making people believe there is worth out there to just go and get it! This is a shame as there are thousands of people on streets trying to do business, but only few managed to gain success.

My point is simple organizing society through work and money is not working! Yes, the significant of formal work will continue for a long time, but the same is true societies and generations have survived without money exchange for a long time too. There are people even in Tanzania in months they might not make or touch 50,000 a day! Yet they survive, it is sampling amazing! And we are blind to see that!

I hear you loud and clear. But the irony is social experiments, which were purposely design to protect workers from exploitation, have been abused by none other than the workers themselves. Take for example the initial implementation of socialism in the Soviet Union.

The Socialists there tried to follow Karl Marx work its entirety. But soon they realized that, given the chance, majority of workers are as good as capitalists in exploiting the system at the expense of their fellow human beings. The soviet workers and peasants were underperforming collective work and couldn’t meet their expected productivity level which was expected to sustain their communal needs.

I believe the relationship between workers and their rights is complex. On one hand you want workers to be very productive in order to meet their modern needs such as schools for their children, hospitals, clean water, etc. On other hand, workers have desires and plans of their own which might not necessary include schools, hospitals or clean water. So in order to reconcile these individual aspirations and community needs, the soviets turned to state capitalism and brutal force.

Now with regard to Tanzania, the AD faced the same experience. Its goals were to bring modernity to rural areas. But in attempts to achieve those goals, AD had to formalize the work in order to estimate the labor and financial investment. Also AD had to try to overcome personal aspirations of villagers. Take for example a Massai tribesman. His whole life, he aspires to own as many cows as he possibly could. How are you going to turn him into a school builder? If you force him, you will definitely exploit his work and violate his human rights.

So the only way to avoid the exploitation of workers is to avoid modernity at all cost. It’s doable but I don’t know anybody who will try to take that route.​
 
Kama ulivyosema kuwa AD was restricted to Tanzania, HOwever... Inamaanisha kuwa ni mwongozo wa jamii fulani hivi (Tanzania). Kwa biblia ni mwongozo pia ila wa kidunia zaidi pamoja na kuwa kuna jamii chache zina vyanzo vyao vya miongozo kama waasia. Hiyo ndio ilikuwa point yangu japo pana huo mkanganyiko kiasi. Lakini pamoja na kuwa Biblia na AD vina lengo moja, we are secular state. Hatuwezi kuchukua sheria za kibiblia tuzifanye kuwa mwongozo wa kiserikali. To me the Bible and AD are mutually exclusive though they live side by side like two sides of a coin. Ndio maana nikauliza kama Biblia haifuatwi, ilikuwa na makosa? Same applies to AD. Nami nimejaribu kujieleza, thuogh you are correct as well
That is a lame excuse. The last entry of the Christian Bible, Revelation, was probably written 2000 years. Since then many things that have altered the interpretation of the Bible have happened. So we can defend the demise of the Arusha Declaration by looking at how the Bible is rendered by the lives of modern Christians.

Besides the center piece of the Bible is to believe in one supreme God. Majority of Christians do exactly that. So there's no point to say that Christians don't follow their Bible. They do.

Among ideological texts, the Arusha Declaration is a sad story. First, the document doesn't have followers. Christians have their Bible. Muslims have their Koran. However, nobody follows AD. I don't know why people try to defend it, when they don't even take time to read it.

Second, it isn't an inspirational text. If you read the New Testament, you will feel the present of a humble person, Jesus Christ, talking directly to you. If you read Muslims' texts, you will find out that Mohamed started his mission when he had nothing. On the contrary, Nyerere waited until he became president, the most powerful man in the land, to announce AD and Ujamaa.

Even secular texts have inspired their intended audience. Take for example the declaration of independence. When you read it you know exactly it wasn't spewed from the mountain top. The Cuban revolution too is an inspirational story for those Cubans who believe in communist party. In Tanzania, Ujamaa and A.D don't have inspirational characteristics.
 
Ukiacha tabia ya mtu mmoja mmoja, Azimio la Arusha ni Azimio la UTU. Msingi sahihi wa Ubepari ni PESA. Mapebari wanaamini hivyo na Mataifa yote yenye "Nguvu" yanakodolea macho raslimali zetu ili kutunisha mifuko yao! Wanatumia wananchi wenye uchu, kutimiza hayo. Katika sura hiyo si kushindwa kwa azimio la arusha bali ni kukosekana kwa uadilifu miongoni mwetu. Najua viongozi bora wapo. Ni swala la muda and every thing will unfold. TAKE CARE @ William.

You are brainwashed. Aren’t you? Tanzania needs capitalists more than the capitalists need the country. The world will miss nothing if Tanzanians decide to stay away with their natural resources.
 
Brother brother - U can lead a Donkey to a river (water) but U can't make it drink!

Labda nikwambie kwa kiswahili, mjadala upate nguvu zaidi kwani niko confo zaidi kwa lugha yangu kufafanua kitu. Mkuu, ni kwamba kila kitu kinatanguliwa na NIA.. La kutazama hapo juu, ni yule anayepeleka punda kwenda kunywa maji mtoni (vijiji vya Ujamaa) huwa ana nia gani, nzuri au mbaya hata kama Punda hawataki kunywa maji wanataka kuendelea kula nyasi hawezi kulazimisha punda wanywe maji. Ni bora wao wafikirie (kama wanaweza kufikiri) ile safari waloichukua toka kwenye nyasi hadi mtoni kabla ya kukataa kabisa kunywa maji na huwezi sema kutokunywa maji basi ni failure ya mtu alowapeleka Punda mtoni.

Tatizo la Vijiji vya Ujamaa ni kwamba tulipelekwa kwenye mto wa maji tukakataa kuyanywa. Tukitaka kuendelea kula nyasi hadi shibe. Sawa tulikataa, lakini ile safari ya kurudi kwenye nyasi tulihitaji maji mwilini, hivyo tunarudi kwenye nyasi wakati tuna kiu ya kuua, hivyo tuna mchanganyiko wa njaa na kiu ndio maana tunamalizana kwenye kipande cha nyasi na maji. - To Refresh your mind here.

Makosa pekee ya Azimio la Arusha ni Ukomunist fulani ulokuwemo, ile kuweka njia zote za uzalishaji chini ya serikali jambo ambalo halipo ktk hata mila na desturi za kiafrika. maana watu walikuwa na mali zao mashamba yao na hata ardhi zao kwa mipaka. Kama tungeweza kuliepuka baada ya kutaifisha mali za wageni wakoloni, kisha mali hizo zingewekwa mikononi mwa wananchi kwa kufuata misingi ya mila na tamaduni zetu pengine ingeleta picha tulitakayo ya U Capitalist, lakini tungeweza vipi kuifanya kazi hiyo ikiwa mali zote zilikuwa za wageni kwanza?...

Mwaka 1992 ndio ulikuwa mwaka ambao tungeweza yaweka mashirika yote ya serikali ktk wallstreet yetu DSE yakaendeshwa kama mashirika binafsi na watu wakanunua hisa zao. Mwenye uwezo akanunua hadi asilimia 50, lakini sio kuyafilisi kwa kutumia neno la kiingereza Privatization wakati tunayafilisi ili kutajirisha viongozi wale wale waliotaka utajiri huo baada ya Uhuru (kula nyasi). Miiko na maadili kuondolewa ndilo kosa kubwa zaidi ya yuote yaliyotangulia. Uongozi bora hauwezi patikana pasipo miiko na maadili.

Your metaphor doesn't work here. When you lead the donkey to the river, you know exactly there is water there. In addition, on the water banks, there's plenty of vegetation. So any donkey will be please to go there because if the animal doesn't want to drink, it will have plenty of food to eat.

On the contrary, Ujamaa villages offered peasants imaginary hope. Upon their arrival, there was almost nothing that the peasants could use immediately to empower their lives. They had to start all over again. They had to build their new dwellings, and prepare their farms. I am not sure if the process of moving to a new location is the same as what have described above.

I have feelings that you were born with a silver spoon in your mouth and you don't know what it entails to move your family to unfamiliar location and start everything from scratch. Please put your feet in peasants' shoes and feel their pains.

Now concerning the reference you have provided to me, I haven't read the work but I think it won't change the reality. I am Tanzanian. I lived it.
 
Mkandara,

...Naungana nawe kwenye pointi hizi, na nitafafanua.

kila kitu kinatanguliwa na NIA. La kutazama hapo juu, ni yule anayepeleka punda kwenda kunywa maji mtoni (vijiji vya Ujamaa) huwa ana nia gani, nzuri au mbaya hata kama Punda hawataki kunywa maji wanataka kuendelea kula nyasi hawezi kulazimisha punda wanywe maji. Ni bora wao wafikirie (kama wanaweza kufikiri) ile safari waloichukua toka kwenye nyasi hadi mtoni kabla ya kukataa kabisa kunywa maji na huwezi sema kutokunywa maji basi ni failure ya mtu alowapeleka Punda mtoni.
...Nia ya Baba wa Taifa ilikuwa njema kabisa -kuwawezesha wa-Tanzania wapate maendeleo mapema- ila haikutekelezwa kwa umakini, kwani, kwa nionavyo mimi -with benefit of hindsight- ilibidi wananchi washirikishe kwa kiasi kwenye mipango hiyo, kwa kutoa maoni na ushauri wao.

...Naamini, kungekuwa na mafanikio zaidi kama wananchi wangeshirikishwa, ili kupata kile kinachoitwa "local content". Jambo ambalo ni muhimu sana kwenye community development strategy, plan and execution.

Tatizo la Vijiji vya Ujamaa ni kwamba tulipelekwa kwenye mto wa maji tukakataa kuyanywa. Tukitaka kuendelea kula nyasi hadi shibe. Sawa tulikataa, lakini ile safari ya kurudi kwenye nyasi tulihitaji maji mwilini, hivyo tunarudi kwenye nyasi wakati tuna kiu ya kuua, hivyo tuna mchanganyiko wa njaa na kiu ndio maana tunamalizana kwenye kipande cha nyasi na maji.
...Tatizo halikutokana na wananchi pekee. Mpango huu haukutekelezwa vizuri. Je, tuna uhakika kule walikohamishiwa kulikuwa na vyanzo vya maji, vya kutosha?. Je, wananchi walikuwa na chakula au waliweza kulima from the word go? Ile ardhi ambayo ilibidi iendelezwe, iliwekewa mkakati gani? Ilikuwa bora kama ile waliyokuwa nayo? Ilihitaji muda gani kuanza kuzalisha kama ile ya awali.

...Unajua. Kuna taarifa kwamba, wengi waliliwa na simba au na wanyamapori wakali. Wengine walikufa njaa.

...Zaidi. Wengi walirudishwa nyuma kimaendeleo kutokana na niliyoyasema hapa juu.

Makosa pekee ya Azimio la Arusha ni Ukomunist fulani ulokuwemo, ile kuweka njia zote za uzalishaji chini ya serikali jambo ambalo halipo ktk hata mila na desturi za kiafrika. maana watu walikuwa na mali zao mashamba yao na hata ardhi zao kwa mipaka. Kama tungeweza kuliepuka baada ya kutaifisha mali za wageni wakoloni, kisha mali hizo zingewekwa mikononi mwa wananchi kwa kufuata misingi ya mila na tamaduni zetu pengine ingeleta picha tulitakayo ya U Capitalist, lakini tungeweza vipi kuifanya kazi hiyo ikiwa mali zote zilikuwa za wageni kwanza?
...Ni kweli kulikuwa na makosa katika kutaifisha mali. Lakini, nia ilikuwa nzuri. Nyerere alilenga kuharakisha africanization na kutekeleza miradi kadhaa ya maendeleo ili kuwainua wa-Tanzania.

...Sasa. Tunaweza sema hiyo haikuwa njia sahihi. Lakini, tujiulize ni hali gani ilikuwa inatawala katika philosofia za kimaendeleo wakati huo?

...Mimi nitajenga hoja kwamba, Baba wa Taifa hakuwa amekosea sana, ila alitakiwa kuwa flexible na kupima matokeo ya mipango hii ambayo nia yake ilikuwa njema kabisa.

...Nitarudia ku-hoja kwamba, model ya kifaransa ingetufaa zaidi, na au tungeikumbatia baadae, hasa, ikiendana na hoja yako, kwamba, mali hizi zilikuwa za wageni -na pengine wao ndio walijua namna ya kuzisimamia kwa uzuri zaidi, katika utawala, masoko, malighafi na teknolojia.

Mwaka 1992 ndio ulikuwa mwaka ambao tungeweza yaweka mashirika yote ya serikali ktk wallstreet yetu DSE yakaendeshwa kama mashirika binafsi na watu wakanunua hisa zao. Mwenye uwezo akanunua hadi asilimia 50, lakini sio kuyafilisi kwa kutumia neno la kiingereza Privatization wakati tunayafilisi ili kutajirisha viongozi wale wale waliotaka utajiri huo baada ya Uhuru (kula nyasi). Miiko na maadili kuondolewa ndilo kosa kubwa zaidi ya yuote yaliyotangulia. Uongozi bora hauwezi patikana pasipo miiko na maadili.
...Tusingeweza. Huwezi, katika hali ya kawaida, kuandikisha mashirika yenye madeni makubwa -ambayo mengine thamani yake inafutwa na hayo madeni- katika soko la hisa. Nafahamu kwamba, yapo ambayo yalihitaji kufanyiwa kazi kidogo ili yafae kuwekwa kwenye soko la hisa.

...Tatizo kubwa ambalo tumekuwa nalo hata leo, ni quality ya viongozi kwenye haya mashirika or rather parastatals, na pia uhuru wao wa kufanya maamuzi ya muhimu kwa maendeleo ya mashirika hayo.

...Kama tuna nia ya kuendelea kupitia mashirika haya, lazima tubadili mfumo na aina ya usimamizi unayoyaongoza.

...Lazima viongozi wake wawe bora, wenye sifa -zenye kupimika- za kufanya vyema huko walikotoka, na wasiingiliwe kwenye maamuzi ya utendaji wa shughuli za msingi.

...Pia, wanatakiwa kuwa na uhuru fulani -unaotazamwa- wa kuanzisha, kuendeleza, na kusitisha shughuli zote za uwekezaji kwa manufaa ya mashirika haya na Taifa.
 
Your metaphor doesn't work here. When you lead the donkey to the river, you know exactly there is water there. In addition, on the water banks, there's plenty of vegetation. So any donkey will be please to go there because if the animal doesn't want to drink, it will have plenty of food to eat.

On the contrary, Ujamaa villages offered peasants imaginary hope. Upon their arrival, there was almost nothing that the peasants could use immediately to empower their lives. They had to start all over again. They had to build their new dwellings, and prepare their farms. I am not sure if the process of moving to a new location is the same as what have described above.

I have feelings that you were born with a silver spoon in your mouth and you don't know what it entails to move your family to unfamiliar location and start everything from scratch. Please put your feet in peasants' shoes and feel their pains.

Now concerning the reference you have provided to me, I haven't read the work but I think it won't change the reality. I am Tanzanian. I lived it.
Zakumi.. Ahahahaha! now you becoming an Indian who takes the expression of a phraise Simba mwenda kimya ndio mla nyama as a slow moving Lioness has to be sick. For such mindset Europe and America would be less populated than the jungle of Brazil, Ngorongoro or Congo, The most vegetation areas are less populated.

What you fail to understand is the notion that its human development we talking about not Things. Ujamaa villages invested in people, empowering them thus developing human capabilities free to range of things they can do or be in life. A lot have been written on Ujamaa villages, I dont have to go back and forth explaining what has already been said. But one thing for sure, Ujamaa villages were established as a basic capability for human development, like many cities or town in western world didn't fall from heaven, they were built from the ground with nothing underneath, that people can have access to the resources and social services needed. Without our cities, towns and villages many choices are simply not available, and many opportunities in life remain inaccessible.

Zakumi a grew up in Kibara, raised by my aunt a very poor family.. as a matter od fact born with a silvercup for hot corn/millet porridge (not Milk or Cerelac power) as young as two month old. imagine that.. so plse don't judge me from this discussion esp. you how never lived in or even have a glimp of Ujamaa villages. For Your info I did live in Ujamaa village in Bulamba, had my own one hectare of Cotton farming. I am talking from experience not reading script from Professors who studies the aftermath.
- Peace
 
I think JF is a time travelling machine. It has reset this thread to May 11, 2012. This is just fantastic and pure class. We demand excellence from our leaders, but we are the last to exercise it.

Anyway, in this post you try so hard to use the unwillingness of people to cooperate to justify government's failures. However, you have forgotten that the real purpose of independence is to allow people to make their own decisions and not to have a government of indigenous autocrats. So Tanzanians had the rights to refuse to join Ujamaa Villages.

In addition, Ujamaa villages didn't empower Tanzanian people because even though they didn't have fancy education from red bricks universities, they knew exactly how to extract the best from their surroundings. So joining Ujamaa villages wasn't their problem because they neither asked nor craved for it.

So you and your beloved philosopher should have understood better that you can't just knock people's doors and tell them what is better for them. As they say here charity starts at home, and you should have started those experiments in your home villages, and see what would have happened.

Ujamaa village wasn't a new concept on the planet earth. In 1930s and 1950s, Russians and Chinese tried to use the same approach, and the cost of human lives and personal properties was extremely high, and I don't know why do you think that Nyerere would have pulled some miracles?

Now concerning your imaginary humble beginning, it wasn't humble at all. This is because if the life of your aunt was similar to that of other villagers, you shouldn't consider her poor.
 
Tatizo la washabiki wa AA nadhani ni kudhani what Nyerere wrote is being challenged rather than the practicability of the declaration. Amna mtu asietaka tueshimiene na kuwe na hutu kwenye jamii its just that the economical approach through the AD is a fantasy.

Labda kwa sababu tumejaza viongozi vilaza at the moment in time tunadhani ni wachumi imara vilevile, jamaa wanaboronga but that has nothing to do with capitalism or even socialism. Hata kama tungekuwa chini ya Azimio la Arusha chini ya uongozi wa sasa wangetafuta namna tu ya kuboronga hawa jamaa, licha ya maadili ya uongozi chini ya AA. Maana hata katiba ina maadili yasioheshimiwa.

Kwa maana hiyo its best we look at these things economically and the best way to achieve results kuliko ushabiki tu usio na kichwa wala miguu. Leave aside the politics and we should look at the realistic practibality. Maana siasa si mgando mambo yanabadilika kwenye dunia na jinsi ya kufanya mambo vilevile yanabadilika.

Mfano leo uingereza inajikuta kwenye dunia ya leo bila ya makoloni yake, kutumia uchumi wake tu pekee(resources za kuweza kukuza uchumi within) haiwezi tena simama as a super power na as time goes by those with the right resources to propel growth are not just catching up but bypassing them and no longer need be influenced by them. ndio maana sasa wana-hamisha nguvu kwenye influential bodies such as them IMF, UN na wazushi wengine.

Kwa maana hiyo sio watu wanapinga azimio la AA hila hali halisi ya uzalishaji dunia ya leo na siasa pia inataka izingatie mazingira yake na sera ndio utungiwa hapo. Bearing those in mind government intervention is necessary for more than one reason, maelezo yanataka mtu ambae kweli anapekua vitabu vya siasa ama sivyo tutatoleana mifano sijui ya wapi without political rationale. I got the feeling sitoeleweka.

CIAO im taking a three month break i got fools to sort out for good. Nilikuwepo.
 
U said:- "Independence is to allow people to make their own decisions and not to have a government of indigenous autocrats". Nigger pleeeease! give me one country whereby people make decisions not subjected to their own government authority or jurisdiction?. If so, where does - No one is above the law stands?. Independent also means not rely on aid and support - are we?.. My guess u kinder confused 'cause it's always been - The government for the people. I wonder, who brain washed u 'cause I keep on repeating myself on the same issue. I was in those villages You weren't, so was the professor and reseachers of the aftermath.

Ujamaa villages wasn't meaned to empower people, but hand over a piece of their share of the cake, give them life, place confidence in the ability of science to improve every aspect of their life, it's about recognise and reorganise the countryside on communal basis since 90% of our nation income and population relied on farming. This is/was what we call Economic macro view...That is the fact brother either U like it or not. Success gat nothing to do with that!..

As you have said, Ujamaa villages weren't a new concept - Russia, Israel, Mexico, Brasilia, China all practised communa villages in their own form. This was never a schematic vision forcebly impose to people as argued by most modernist ideologies who mix Economics with Freedom and liberty. Ujamaa was an invention out of neccesity which placed people with their land for farming, fully responsibe and accountable for success in our hand. Given confidence in the ability of science to improve every aspect of our life. but we FAILED even after use of authoritarian state power to effect large-scale interventions of the cause. We failed and failed simply because of our own ignorance and greedness. What I call - A fundamental tension of modernity! It's like a deeling with a teenager who have chosen sex exploitation as the basis of his/her right, a son who turned gay as the right for being independent.

Bro, am a father and religious..If it happened that my friends, sons and daughter chose of this world against God's word, can't blame on Islaam or Christianity as the utopian schemes that have inadvertently brought death and disruption to millions who resist of the faith - They - themselve have failed.
 
Tatizo la washabiki wa AA nadhani ni kudhani what Nyerere wrote is being challenged rather than the practicability of the declaration. Amna mtu asietaka tueshimiene na kuwe na hutu kwenye jamii its just that the economical approach through the AD is a fantasy.

Labda kwa sababu tumejaza viongozi vilaza at the moment in time tunadhani ni wachumi imara vilevile, jamaa wanaboronga but that has nothing to do with capitalism or even socialism. Hata kama tungekuwa chini ya Azimio la Arusha chini ya uongozi wa sasa wangetafuta namna tu ya kuboronga hawa jamaa, licha ya maadili ya uongozi chini ya AA. Maana hata katiba ina maadili yasioheshimiwa.

Kwa maana hiyo its best we look at these things economically and the best way to achieve results kuliko ushabiki tu usio na kichwa wala miguu. Leave aside the politics and we should look at the realistic practibality. Maana siasa si mgando mambo yanabadilika kwenye dunia na jinsi ya kufanya mambo vilevile yanabadilika.

Mfano leo uingereza inajikuta kwenye dunia ya leo bila ya makoloni yake, kutumia uchumi wake tu pekee(resources za kuweza kukuza uchumi within) haiwezi tena simama as a super power na as time goes by those with the right resources to propel growth are not just catching up but bypassing them and no longer need be influenced by them. ndio maana sasa wana-hamisha nguvu kwenye influential bodies such as them IMF, UN na wazushi wengine.

Kwa maana hiyo sio watu wanapinga azimio la AA hila hali halisi ya uzalishaji dunia ya leo na siasa pia inataka izingatie mazingira yake na sera ndio utungiwa hapo. Bearing those in mind government intervention is necessary for more than one reason, maelezo yanataka mtu ambae kweli anapekua vitabu vya siasa ama sivyo tutatoleana mifano sijui ya wapi without political rationale. I got the feeling sitoeleweka.

CIAO im taking a three month break i got fools to sort out for good. Nilikuwepo.
Mkuu Eric, hakuna mshabiki wa AA hapa isipokuwa tunazungumzia kile mnachodai nyie kwamba hakiwezekani maana hakuna kitu kisichowezekana ndani ya jua, isipokuwa kwa wale waliopoteza tumaini.

Kwa maana hii, tunasema huwezi kupima mafanikio ya Ukristu kwa kutazama watu walio kwenda kanisani ama kutazama maasi ya binadamu dhidi ya imani ya dini ili kuichambua biblia mapungufu yake kwani mapungufu ni yetu sisi binadamau. sii ya Biblia. Tuloshindwa kutofuata maadili ya dini, kutopenda kwenda kanisani ni sisi wenyewe, na hivyo kushindwa kwetu haiwezi kabisa kuhalalisha ufisadi na maovu tunayoyafanya kuwa ndio hali halisi na hivyo kufuata itikadi zinazofungamana na maisha ya leo kinzani ya biblia. Sijui kama umenielewa vema hapo..

Sisi Watanzania ndio tuna matatizo, na tumeshindwa kujitazama ktk kioo kuipata sura halisi ya uhalisia wetu maana binafsi yangu nitakwmabia yale yalonikwaza hasa kupitia ndugu na marafiki zangu. Kuna baadhi ya biashara nimewaambia naweza kufungua hapo nyumbani na wao wasimamie - Kosa! kosa kwa sababu aidha hawataki biashara hizo isipokuwa wanazofikiria wao ama Uvivu wao ndio unaowatuma kuchagua kazi au biashara wakati hawana hata mtaji mdogo. Hivyo basi kuwepo kwa wazo langu la kufungua biashara hakuwezi kuwa kosa kwa sababu hakuna ndugu au rafiki anayeafiki biashara za ushirika naye.

Mfano, tulikuwa tufuge kuku, maeneo ya Matembele kule Kipunguni ambako ufugaji wa kuku umewawezesha watu wengi sana. Unajua majibu nilopewa, hiyo ni kazi ngumu sana kufuga kuku japokuwa nilikuwa radhi kui finance biashara hiyo - Ikafa. Ikaja swala la kufungua recording studio, hapo mshikajii watu walikabana mashati, usajili tu wa kampuni watu walikula mtaji kila mtu akimzunguka mwenzake ikashindikana. Kila wazo la biashara nalowapa wao halifai isipokuwa lao wenyewe ambalo wanataka niwape kila mmoja wao msingi (mtaji) ajiendeshe mwenyewe kwani kila mmoja wao hamuamini mwenzie, wakihofia watakuja gombana ktk mapato (fedha). Nayoyaandika hapa ni kweli tupu wala sii tunzi mkuu wangu.

Haya na kwa wale niliojaliwa kuwaanzishia mtaji wao wenyewe kwa biashara walodai inalipa, hadi sasa hivi nazungumza hawana mafanikio yoyote zaidi ya kwamba wameshindwa kuiendeleza na wanaomba msaada kama jana. Kuna vifaa kibao nimepeleka Bongo kama mtaji wa biashara hadi leo vimekaa storage kila mtu anataka nimkabidhi yeye (iwe mali yake) na sii kushirikiana wakait huo huo kila mmoja wao ananambia nisimuamini fulani sii mkweli atanizika...Na kweli nikimuamini mmoja wao atanizika wala sii uongo!..Hii ndio hali halisi ya Wadanganyika mkuu wangu hakuna swala la kiuchumi wala kiitikadi bali matatizo yapo kwetu sisi wenyewe. Does this ring a bell jinsi nchi yetu inavyo deal na mataifa makubwa? - Sasa tatizo ni la kimfumo au sisi wenyewe!

Mkuu wangu AA halikuwa na tatizo bali ni utamaduni ambao hatuna. Nitakubaliana nawe kama ukisema sisi hatukuwa WAJAMAA kiasili maana kila mtu alitegemea URITHI kukatiwa chake iwe shamba au nyumba kisha huanzisha ukoo wake. Hatuna Ushirikiano wa kijamii isipokuwa wakati wa vita, ndoa ama misiba na sielewi itikadi gani ya kisiasa na kiuchumi unaweza kuihusisha na jamii yetu. Kila mtu anataka akatiwe chake kama njia ya mkato ili atoke yeye, hakuna swala la undugu, ujamaa ama kufikiria kwamba akiwezeshwa mmoja wetu kibiashara ndio mafanikio yenu wote. Wabongo it's all about ME!

Hivyo sio swala la kiitikadi, tunashindwa leo ndani ya Ubepari kwa sababu ya UBINAFSI wetu maana hata hao Mabepari wenyewe wamefikia kuweka soko huria ambapo kila mtu ananunua hisa zake kwa kuamini utawala wa shirika ama kampuni bila hata kuziona mali zenyewe, sasa sisi tusioweza kuaminiana itakuwaje?. Na ukiwekeza fedha zako PPF au DSE unaweza kuliwa kiukweli maana yule anayesimamia huko sii mtu wa kuaminika maana kifikra jukumu alopewa ni mtoa yeye kwanza..Ukipata kazi au uongozi ni njia ya kukutoa.

Ni sifa kubwa sana kwa kiongozi kuiba, kufisadi akajijenga yeye ataonekana kafanya la maana kuliko yule aliyefanya uaminifu asiibe huyo watamwita mjinga maana dhamana ulopewa ni sawa na umefunguliwa mlango wa kukutoa ktk umaskini na usipotoka basi wewe mjinga na pumbavu kubwa. Hata mama yako mzazi hatakupenda kwa uaminifu wakati hukutakiwa kuwa muaminifu. Na yule alotoka hata ukimuona barabarani sii mwenzako tena, hakujui hata kama mlicheza/mlisoma wote utotoni au ujana wenu. Nawajua wangapi leo hii waliotoka hata salamu hawakupi, ukipiga simu wanauliza unashida gani?..Hawa ndio Wadanganyika tunaotaka maendeleo kisha tunajiuliza kwa nini sisi bado maskini..

Hivyo mkuu wangu tutasema sana kuhusu AA, viongozi na kadhalika lakini tatizo kubwa lipo kwetu sisi wenyewe. Ni maskini ombaomba ambao tunategemea sana msaada wakati hatuna agenda ambayo tuna uzoefu nayo kikazi. Ukipewa biashara itakufa tu maana tunaiga hata biashara zenyewe pasipo ujuzi wa biashara na hatupendi kushikiriana kwa sababu hatuaminiani. Ni vigumu sana kuliondoa Taifa hili ktk Umaskini kutokana na WATU wake. Na amini maneno yangu maadam tumekataa kazi ambazo tuna ujuzi nazo (kilimo) tumekataa kuthamini kwanza rasilimali WATU ambao wengi wao ni wakulima maskini wenye maradhi na Wajinga - kukimbilia madini, gas, vito na Utalii -vitu ambavyo sisi wenyewe hatuna mahitaji navyo basi tumekwisha, hakuna kitakacho tuondoa ktk umaskini. Maendeleo hutokana na uwezo wa kukidhi mahitaji yako kwanza, kisha ndio unatazama nje kupata ziada maana rasilimali WATU ndio chachu ya maendeleo.
 
Azimio la Arusha is being discussed here as if it were all about ujamaa villages. What about all the resources we have decided to give away to the so called investors after dumping the policy? It's almost 20 years after the dump, are we, as a nation, any better today?
 
Back
Top Bottom