DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 551
...Is this a bluff being called?Sir, Out of curiosity, could you please name 10 top universities which study AA as a philosophical feat?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Is this a bluff being called?Sir, Out of curiosity, could you please name 10 top universities which study AA as a philosophical feat?
Nitajie nchi moja duniani leo hii inayofuata pure ujamaa. Huko Venezuela 'Hugo Chavez' kajaribu, mara tu kakuta migorofa iliyokuwa inajengwa yote imebakia kama skeleteons na sasa wanaishi watu maskini bila ya umeme and in unsafe environment....Kwa maana hiyo, kitu gani ambacho si pumba, katika vyote tulivyonavyo leo hii?
...Ujamaa na Kujitegemea ni sera nzuri kabisa ambayo ikifuatwa kwa kutumia akili na bila uvivu, italifikisha taifa hili mbele kabisa. Mifano hai iko mingi kwenye nchi za wenzetu, tena zenye mifumo wa kiuchumi wa kibepari.
...Kwa maana hiyo, kitu gani ambacho si pumba, katika vyote tulivyonavyo leo hii?
...Ujamaa na Kujitegemea ni sera nzuri kabisa ambayo ikifuatwa kwa kutumia akili na bila uvivu, italifikisha taifa hili mbele kabisa. Mifano hai iko mingi kwenye nchi za wenzetu, tena zenye mifumo wa kiuchumi wa kibepari.
Wewe ulisema ifuatavyo...........
Mimi nikasema..........
Sasa wewe....."yule yule" unasema ifuatavyo
Well well well...........pamoja na kwamba unaji-contradict mwenyewe kama nilvyoonyesha hapo juu......I take your point though...........
Ndio maana Tanzania/ Taifa letu linaitwa "kichwa cha mwenda wazimu"..........tunajidharau wenyewe kuwa...kitu kilichokuwa generated na sisi (ofcourse by midifying other people ideas) hakifai......tunaanza kurukia rukia ideologies za watu bila hata kuzi-test kama zinafaa kwa jamii yetu.......Angalia rasilimali zetu zinavyokwapuliwa kila siku kwa sababu ya "Akili" nyingi za watu walioliua Azimio la Arusha..........
Lets say Walioliua Azimio...had brilliant ideas na kwamba wana akili sana.....kama unavyodai.......hivi sasa kama Taifa tunafaidika vipi na hizo ideas............zaidi ya kashfa zilizokithiri kila kukicha..........
Anayefikiri kuwa Azimio la Arusha was dead wrong.............ni muhimu akajijua kuwa he/she is DEAD WRONG in the first place...........
...Nilitegemea hii. Ujamaa na Kujitegemea haikumaanisha Socialism. Ninavyoelewa mimi.Nitajie nchi moja duniani leo hii inayofuata pure ujamaa. Huko Venezuela 'Hugo Chavez' kajaribu, mara tu kakuta migorofa iliyokuwa inajengwa yote imebakia kama skeleteons na sasa wanaishi watu maskini, si wote wanahitaji mafuta yake for cheap. yeye mwenyewe ingawa hataki western investors amekuwa champion wa south america market economy. You cant do these things on your own. You need external trades: this is where the challenges lies in writing economical programmes and they need to be flexible depending on the level of your understanding. Kwa maana hiyo ingawa mimi ni msahbiki wa capitalism bali si mshabiki wa Azimio la Zanzibar vile vile. Another time another thread.
Ujamaa na kujitegema aimaanishi socialism (unaweza kuandika kitu na kukipa jina lolote), lakini approaches za AA zipo left na kuna utata mkubwa kwenye suala hilo. Kesho tena kwa mimi asubuhi nina majukumu mengine.....Nilitegemea hii. Ujamaa na Kujitegemea haikumaanisha Socialism. Ninavyoelewa mimi.
...Mjomba Chavez amepotea vibaya sana. Kuna mambo kadhaa serikali haiwezi kuyafanya kwa ufanisi.
...Uko sahihi kwenye hii observation. Ujamaa wa mwalimu ulikuwa na maana ya kuunganisha nguvu au kushirikiana kulijenga taifa -hii inafanyika hasa kwenye kilimo na hata viwanda huko ulaya. watu wanakuwa na umoja wa kuhifadhi na kuzalisha vyakula, na mazao ya mifugo.- au na jamii inayozunguka eneo husika, hasa kwenye miradi ya maendeleo. Kujitegemea kulikuwa na maana ya kujitolesheleza kwa mahitaji yetu ya muhimu kadri iwezekanavyo. Kama una nafasi ya kukusanya kodi halafu ukawa na nidhamu ya matumizi, hutopitapita kutembeza bakuli.Today you insult capitalists. Tomorrow you ask for their help to build what you call ujamaa na kujitegemea. What do you expect?
...Huwa najiuliza, je, Nyerere alifika mahala akaacha kusimamia A la A au ilikuwaje. Maana, hata kutohamia MM-D chanzo twaweza sema ni Nyerere, kwani yeye ndiye angeanza kuhamia huko. Au?
...Huo utata uongezee na mwelekeo au fikra za wananchi wa kawaida, ndio balaa tupu. Watanzania wengi wa kawaida -na ambao ndio wapiga kura wengi- ni leftists. Sasa, kama changamoto, lazima tujiulize wanatimiziwa vipi matakwa yao -japo najua hamna anayejali, kiuhalisia- ambayo mengi ni very basic.Ujamaa na kujitegema aimaanishi socialism (unaweza kuandika kitu na kukipa jina lolote), lakini approaches za AA zipo left na kuna utata mkubwa kwenye suala hilo. Kesho tena kwa mimi asubuhi nina majukumu mengine..
...Katika kukuza uchumi, baadhi yao hasa China nitawafanya kama mfano wa kuigwa. Ila, natambua kuwa Ulaya karibu yote, mara nyingi hutawaliwa na siasa za ki leftists. Ni hivi majuzi wamebadilika kidogo kutokana na wimbi la wahamiaji, ingawa wengi wao -France ikiwa mfano mzuri- ni leftists.By the way our closest two allies kwenye philosophy za ujamaa na kujitegema wameshabadilika wengine wamebakia na jina tu kutunza philosophy lakini their pretty much capitalist under one party (kwa maana hiyo wao wapo so concerned na elitism na ukandamizaji wa demokrasia). Na wengine wamekubali ni ma capitalist tu, hawana tofauti sana na wa mwanzo kwa sababu jamii yao hipo based on a caste system yale yale ukandamizaji wa demokrasia.
...Umenifunua mawazo zaidi. Nafikiria, model nzuri -pamoja na kwamba africanization ndio ilikuwa chachu kuu- ingekuwa ya ujamaa wa kifaransa.Labda kujenga ujamaa kwa kutumia bureaucracy aliyoacha mwingereza ilikuwa ni kitu kigumu? Alitakiwa aje na bureaucracy yake.
Not entirely left but the policies are based on central left (because of Tony Blair and the Germany approach), central ( the core of capitalism) and central right (because of Margret Thatcher), haya yote yametokana na balancing na ufahamu wa jamii zao hili ziendelee. Kuna challenges nyingi sisi hatujafikia central of the spectrum yet (May be left central of the spectrum) lakini si kwa ideologies kama za A.A. Mimi tena kesho...Ila, natambua kuwa Ulaya karibu yote, mara nyingi hutawaliwa na siasa za ki leftists. Ni hivi majuzi wamebadilika kidogo kutokana na wimbi la wahamiaji, ingawa wengi wao -France ikiwa mfano mzuri- ni leftists.
The people.... since you are too predictable (not a good quality for debate) let me go further and let you know that AD was a statement from TANU's general Assembly which was democratically elected and was a representative of "Tanzanians" at that time.Sir Kobello,
Let me agree with you that a declaration is a statement of intent. My question now is who's responsible for making that statement? A leader at the mountain top? The people through a democratic process?
The biggest of all (there are many) was "political", by leaning left, we were isolated by the international community in things like trade, international financing eg. IMF,WB etc.You have been posing questions all the time, allow me to reciprocate the compliments for a change.
The underlying philosophy of Arusha Declaration was to attain a self sufficient society, what were it's challenges. Ni jibu na mimi ntakujibu.
I did it myself in undergrad, here in US (nice try but I won't disclose my true ID).Sir,
Out of curiosity, could you please name 10 top universities which study AA as a philosophical feat?
...Huo utata uongezee na mwelekeo au fikra za wananchi wa kawaida, ndio balaa tupu. Watanzania wengi wa kawaida -na ambao ndio wapiga kura wengi- ni leftists. Sasa, kama changamoto, lazima tujiulize wanatimiziwa vipi matakwa yao -japo najua hamna anayejali, kiuhalisia- ambayo mengi ni very basic. ...Katika kukuza uchumi, baadhi yao hasa China nitawafanya kama mfano wa kuigwa. Ila, natambua kuwa Ulaya karibu yote, mara nyingi hutawaliwa na siasa za ki leftists. Ni hivi majuzi wamebadilika kidogo kutokana na wimbi la wahamiaji, ingawa wengi wao -France ikiwa mfano mzuri- ni leftists.
Mkuu
Acha kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia, hii aihusuiani chochote na tamaduni wala ways of doing things kwenye jamii, kwa maana hiyo aingiliani na mwenendo wa maisha ya watu in general (depending on the understanding of the era) hila they can be challenged through evolved moral values and understanding of that particular society at the time.
Demokrasia imejikita katika uhusiano wa involment ya wengi kwenye siasa na maamuzi ya kisiasa kwa upande mkubwa. Kwanza neno lenyewe limeanzaia kwenye siasa za ancient Greek between (461bc and 322bc), during that time hata huyo mzungo alikuwa ajaanza slave trade or anything to impact the world affairs.
Demokrasia limetokana na maneno mawili ya Kigiriki ya wakati huo 'Demos' likimaanisha watu na 'Kratia' likimaanisha muongozo wa sheria. Kumbuka wakati huo tamaduni zao zilikuwa zinatawalia na fikra nyingi ambazo zilijaa ukiritimba, ubaguzi na dhana nyingi leo ambazo azitambuliki wala azikubaliki. Hila kwa kuwa tamaduni zinabadilika na mambo mengi yaliyokuwa hayapo kwenye demokrasia ya mgiriki yamebadilika. Again through evolved understandings, the meaning of the word widens.
Hila mzungu awezi kuja kwako kukwambia usioe wake watatu kama tamaduni inakuruhusu hivyo au kwenda kutambika kwenu eti kisa unachukua demokrasia yake. Demokrasia imejikita zaidi katika political involvement za wengi kwenye kuchagua maamuzi ya jamii that is to say huwezi peleka watu maporini waka-risk maisha yao na akina simba kama hawataki kwa phisophy zako bila ya maamuzi yao:hiyo ndio maana ya democracy citizens having choices.
Kuhusu quote yako majibu kesho inataka maelezo, na kukuelezea kwanini AA halifai kabisa si tu kidemokrasia bali hata kialisia.
- Mkuu huu mjadala ni wa hoja sio wewe wala mimi, umeukuta upo kihoja naona unaanza kuuharibu personal hatuzihitaji hapa, hoja yangu ni kwamba Azimio was wrong na it is dead, ya wewe kufa hayanihusu tuongee Azimio kama unaamini lipo hai au linafaa weka hoja zako tu mambo ya binafsi hayapo hapa hii thread!
- Azimio lilikufa kwa sababu lilikuwa halitekelezeki, Ubepari tunaoufuata sasa unatekelezeka ndio maana kuna mabadiliko makubwa kwa wananchi na hasa uhuru wa kusema maoni yao na kusikilizwa pia, mengine tunaenda pole pole lakini angalau kuna mwanga mbele!
William.
The people.... since you are too predictable (not a good quality for debate) let me go further and let you know that AD was a statement from TANU's general Assembly which was democratically elected and was a representative of "Tanzanians" at that time.
I did it myself in undergrad, here in US (nice try but I won't disclose my true ID).
Ngoja nishushe data:
1. HISTORY 413 (University of Lorin).."African Political thought" Topic: Neo-colonialism, THE POLITICAL PHILOSOPHY OF jkn.
2.University of Idaho, College of Arts and Social Studies.
3. PSCI 4809 (Carleton University); The rise and demise of Populism (African Socialism), in Tanzania.
4.POL 301Y University of Toronto.
5.University of Dar es salaam (kawaulize mwenyewe jina la course).
6.Western oregon University
7.POLS 221 :Baldwin (Mary) College, Staunton VA.
8.LutherCollege, Decorah, Iowa.
9.POL 224, Oberlin College.
10.THE FLORIDA STATE UNIVERSITY: College of Education.
Asante sana Mkuu........ hivi jamani ni nchi gani iliyoendelea duniani isiyo na miiko/maadili kwa viongozi wake.........