Azimio s/msingi Musoma 1987 tukutane hapa

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Ingawa darasa lilikuwa na idadi ya wanafunzi wachache lakini najua baadhi mpo humu.Ni miaka mingi nitafurahi sana kama mpo humu, tukumbushane ile label yetu pendwa za zambarau!karibuni.
 
umenikumbusha mbali sana,ila mimi nilikua musoma s/m na kuishi mtaa wa mkendo miaka ya 80 mpaka 2000,wazee maarufu wa mitaa hiyo walikua akina masissa,mugobi na mzee mchumila
 
Sikusoma Azimio lakini miaka ya 90 nilikuwa mtumishi Musoma. Mzee mchumila namkumbuka. Alichezea Yanga Africa. Kama sijakosea.
 
umenikumbusha mbali sana,ila mimi nilikua musoma s/m na kuishi mtaa wa mkendo miaka ya 80 mpaka 2000,wazee maarufu wa mitaa hiyo walikua akina masissa,mugobi na mzee mchumila
Mzee mchumila alikuwa maarufu kwa sababu ya kucheza Yanga.Mzee Mugobi sikujua sana habari zake lakini alikuwa akionekana gaidi na kile kikofia chake kama cha mzee ojuang!
 
Back
Top Bottom