kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Ingawa darasa lilikuwa na idadi ya wanafunzi wachache lakini najua baadhi mpo humu.Ni miaka mingi nitafurahi sana kama mpo humu, tukumbushane ile label yetu pendwa za zambarau!karibuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si hivyo mkuu,karibu pia kama ni mwana Azimioubaguz huu sasa
Sikusoma Azimio lakini miaka ya 90 nilikuwa mtumishi Musoma. Mzee mchumila namkumbuka. Alichezea Yanga Africa. Kama sijakosea.umenikumbusha mbali sana,ila mimi nilikua musoma s/m na kuishi mtaa wa mkendo miaka ya 80 mpaka 2000,wazee maarufu wa mitaa hiyo walikua akina masissa,mugobi na mzee mchumila
Yupo mzee wa watu ni kocha saa hizi wa timu Fulani hapa townSikusoma Azimio lakini miaka ya 90 nilikuwa mtumishi Musoma. Mzee mchumila namkumbuka. Alichezea Yanga Africa. Kama sijakosea.
Mzee mchumila alikuwa maarufu kwa sababu ya kucheza Yanga.Mzee Mugobi sikujua sana habari zake lakini alikuwa akionekana gaidi na kile kikofia chake kama cha mzee ojuang!umenikumbusha mbali sana,ila mimi nilikua musoma s/m na kuishi mtaa wa mkendo miaka ya 80 mpaka 2000,wazee maarufu wa mitaa hiyo walikua akina masissa,mugobi na mzee mchumila