mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Nilipomkataa huyu tapeli wa mpira baada ya gemu dhidi ya Simba sc ambapo mashabiki maandazi wengi walimmwagia sifa za uongo niliishia kutukanwa , wapo walioenda mbali nakusema hatimae nimedhihirisha wehu wangu.
Nakazia Tena, Aziz adambwile Hana uwezo wakuisadia Yanga kama namba sita, nimchezaji wa kawaida , mzito , anakaba eneo dogo la uwanja, anawah kuchoka, sio mpiga pasi mzuri, licha ya kimo kirefu bado hana uwezo wakiwin aerial balls, uwezo mdogo wa kumiliki mpira , uwelewa mdogo wa mchezo .
Kwa kifupi kama huyu jamaa akiendelea kuaminiwa Yanga sc itazama..Na Niko hapa kuapa kwamba , hakuna Kocha mpya anaweza kumuanzisha huyu jamaa kwenye kikosi cha kwanza Tena .
Adiosss