mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Mchezaji wa kawaida sanaaLabda Mikimbio Yake Nimzuri Eneo Lakat
Jamaa yupo vizuri kama Dr Khalid AuchoNilipomkataa huyu tapeli wa mpira baada ya gemu dhidi ya Simba sc ambapo mashabiki maandazi wengi walimmwagia sifa za uongo niliishia kutukanwa , wapo walioenda mbali nakusema hatimae nimedhihirisha wehu wangu.
Nakazia Tena, Aziz adambwile Hana uwezo wakuisadia Yanga kama namba sita, nimchezaji wa kawaida , mzito , anakaba eneo dogo la uwanja, anawah kuchoka, sio mpiga pasi mzuri, licha ya kimo kirefu bado hana uwezo wakiwin aerial balls, uwezo mdogo wa kumiliki mpira , uwelewa mdogo wa mchezo .
Kwa kifupi kama huyu jamaa akiendelea kuaminiwa Yanga sc itazama..Na Niko hapa kuapa kwamba , hakuna Kocha mpya anaweza kumuanzisha huyu jamaa kwenye kikosi cha kwanza Tena .
Adiosss
Acha masihara basi we jamaa.Jamaa yupo vizuri kama Dr Khalid Aucho
Itakua mna ugomvi binafsi unataka utujumishe na sisiNilipomkataa huyu tapeli wa mpira baada ya gemu dhidi ya Simba sc ambapo mashabiki maandazi wengi walimmwagia sifa za uongo niliishia kutukanwa , wapo walioenda mbali nakusema hatimae nimedhihirisha wehu wangu.
Nakazia Tena, Aziz adambwile Hana uwezo wakuisadia Yanga kama namba sita, nimchezaji wa kawaida , mzito , anakaba eneo dogo la uwanja, anawah kuchoka, sio mpiga pasi mzuri, licha ya kimo kirefu bado hana uwezo wakiwin aerial balls, uwezo mdogo wa kumiliki mpira , uwelewa mdogo wa mchezo .
Kwa kifupi kama huyu jamaa akiendelea kuaminiwa Yanga sc itazama..Na Niko hapa kuapa kwamba , hakuna Kocha mpya anaweza kumuanzisha huyu jamaa kwenye kikosi cha kwanza Tena .
Adiosss
Dah!Nilipomkataa huyu tapeli wa mpira baada ya gemu dhidi ya Simba sc ambapo mashabiki maandazi wengi walimmwagia sifa za uongo niliishia kutukanwa , wapo walioenda mbali nakusema hatimae nimedhihirisha wehu wangu.