Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
Iceman,Ahsante nimekuelewa sana hapo Mohamed Said.
Nataka turudi kwa Azizi Ali, je yeye ana uhusiano gani na kupigania uhuru wa Tanganyika!!?
Je aliwahi kujihusisha pia na uongozi wowote wa kisiasa!!?
Aziz Ali umaarufu wake uko katika utajiri wake na katika kujenga misikiti na nyumba
za watu wa Dar es Salaam akwa kama mkandarasi kwa ustaarabu sana maana inasemekana akiwafanyia wepesi kulipa na ikiwa mtu kashindwa kulipa alisamehe deni.
Hii mali yake aliyochuma katika uhai wake alirithi mwanae Dossa na Dossa alitumia mali hii katika kupigania uhuru wa Tanganyika.