Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #21
Iceman,Ahsante nimekuelewa sana hapo Mohamed Said.
Nataka turudi kwa Azizi Ali, je yeye ana uhusiano gani na kupigania uhuru wa Tanganyika!!?
Je aliwahi kujihusisha pia na uongozi wowote wa kisiasa!!?
Iceman,
Aziz Ali umaarufu wake uko katika utajiri wake na katika kujenga misikiti na nyumba
za watu wa Dar es Salaam akwa kama mkandarasi kwa ustaarabu sana maana inasemekana akiwafanyia wepesi kulipa na ikiwa mtu kashindwa kulipa alisamehe deni.
Hii mali yake aliyochuma katika uhai wake alirithi mwanae Dossa na Dossa alitumia mali hii katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Dosa na Hamza hawa walishiriki katika harakati za TANU. Hamza alikuwa IGP baada ya Elangwa Shaidi na baada ye kuwa afisa wa ubalozi Washington DC na CanadaAnhaaa
Kumbe Dossa ndiye mtoto wa Ali!!
Ahsante sana nime elewa hilo. Nashukuri kwa kuleta maarifa haya
Dosa na Hamza hawa walishiriki katika harakati za TANU. Hamza alikuwa IGP baada ya Elangwa Shaidi na baada ye kuwa afisa wa ubalozi Washington DC na Canada
Haya mama sasa pumzika halafu kesho ntakuja kukuuliza zaidWalikuwa na dada yao woman police aliitwa Mwanakondo.
Iceman,Ahsante
Dossa yeye hakushika madaraka yoyote !?
Yaaani huyu dossa alikuwa kama vile Che Guevara.Iceman,
Dossa hakushika madaraka yoyote katika serikali.
Sky,Asili yao babu yao Alikuwa askari wa Kizulu walioletwa na Wajerumani kupigana na Wareno Tangnyika, aliloea Pangani Tanga na kuoa mwanamke wa Kiislam na ilimbidi kubadili dini.
Mzee wangu@ Mohammed Said naomba mawasiliano yako...nikutafute nahitaji kukaa na wewe kufanya kitu cha kukumbukwaSky,
Kleist alizaliwa Pangani na mara tu baada ya kuzaliwa mama yake kabila Mnyaturu akafariki.
Kleist kaja Dar es Salaam akiwa mtoto mdogo hakuwahi kuishi Pangani.
Baba yake Sykes Mbuwane alikuja Tanganyika na nduguye akiitwa Ali Katini tayari Waislam.
Ndugu yao mwingine Ramadhani Mashado Plantan alikuja Tanganyika 1905 akiwa na umri wa miaka matano akiwa Muislam.
M
Kipaji,Mzee wangu@ Mohammed Said naomba mawasiliano yako...nikutafute nahitaji kukaa na wewe kufanya kitu cha kukumbukwa
Alikuwa doubted na wazungu?
...the hell does that mean?
CDG,Mohamed Said nashauri uandike kitabu yatadumu wakati huu wazee bado wako hai ili vizazi vilivyopo na vijavyo waijue historia ya jiji kabla na baada ya uhuru
Dosa na Hamza hawa walishiriki katika harakati za TANU. Hamza alikuwa IGP baada ya Elangwa Shaidi na baada ye kuwa afisa wa ubalozi Washington DC na Canada