SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Sitaki nisichukuliwe nyota bureeUnatanua sasa 😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki nisichukuliwe nyota bureeUnatanua sasa 😅😅😅
Nani wa kukuchukua nyotaSitaki nisichukuliwe nyota buree
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sura ya masaki, utundu wa tandika. Muacheni kijana mcheza mpira achanganyikiwe [emoji16][emoji16][emoji16]
KUmbe hujui ukilala na mtu anakuwa na vitu vyako vizuri kama anamikosi nawe unapata kama hujui saivi silali namtu mpaka anioe hataki basiNani wa kukuchukua nyota
Kumbe bado hujaolewa, sasa wasubiri nini??? 😅😅😅KUmbe hujui ukilala na mtu anakuwa na vitu vyako vizuri kama anamikosi nawe unapata kama hujui saivi silali namtu mpaka anioe hataki basi
WeweKumbe bado hujaolewa, sasa wasubiri nini??? 😅😅😅
Mi na mke tayari au wataka uke wenza 😅😅😅Wewe
Basi nitafutie huko akina aziz kiMi na mke tayari au wataka uke wenza 😅😅😅
Still dreaming?Tena ndogo hii mie nitalipiwa ml 500 nakama hutoamini ipo siku mie sio star walahi mtaniona kwenye mitandao ya kijamii kuna mwanakaka amezimia ameoza kwa mwanadada huyu hadi kamlipia ml 500 mahari yake bila kulogwa wala nini ni ridhaa ya Mwenyenzi Mungu kumtunukia sweet candy
Still dreaming?Mimi bado naamini hili ni igizo au tangazoooo.....kwelitutajua weekend hiii
Mmmh tatizo unataka kina Aziz ki 😅😅😅Basi nitafutie huko akina aziz ki
Eh sasa ndio wanaweza leta ng'ombe 70Mmmh tatizo unataka kina Aziz ki 😅😅😅
We upoje mpaka ukae na Sampuli ya kina Aziz K maana ndege wafananao hupaa pamoja.....Eh sasa ndio wanaweza leta ng'ombe 70
Sio kila ndege wanafananao wanaruka pamoja HAMISA hakuwa na hela akapata watu wakamnyanyua nasio wote wanapendwa wakiwa matajiri ...We upoje mpaka ukae na Sampuli ya kina Aziz K maana ndege wafananao hupaa pamoja.....
A goes with A.....we ulivo utapata wa kufanana na wewe 😅
Unavo sema Hamisa hakuwa na pesa wewe upo kama hamisa hata yule wa enzi za kina abdukiba na alikiba????Sio kila ndege wanafananao wanaruka pamoja HAMISA hakuwa na hela akapata watu wakamnyanyua nasio wote wanapendwa wakiwa matajiri ...
WEngine wanakuwa matajiri wakiolewa na matajiri, wengi ni wanaume wanasaidiwa na wanawake wakipata wanaenda kuoa wakina hamisa
Ile bado movie....kwangu badoooo...anyway kila heri kwao kama kweliStill dreaming?
Sema wasanii hawa nao sio wakuwaamini sana kila kitu kinawezekanaIle bado movie....kwangu badoooo...anyway kila heri kwao kama kweli
Kwenye mafanikio ya mwanamke ni mwanaume anahusika , na kwenye mafanikio ya mwanaume.mwanamke anahusika.Unavo sema Hamisa hakuwa na pesa wewe upo kama hamisa hata yule wa enzi za kina abdukiba na alikiba????
Hamisa alikuwa na boutique, nyumba aliokuwa akiishi ni milioni mbili na nusu kwa mwezi mtaa wa kishua, viwanja vya bei kali venye title alikuwa anavo, Hamisa alikuwa anatembelea Range Rover kali....Hamisa alikuwa brand ambassoder wa endorsement deals, nyingi achana na mauzo ya bongo movies, mwisho Hamisa alikuwa na masponsor wakumpa pesa ndefuuu for vacations zake.
Wewe wa uswahilini unajifanananisha na Hamisa Mobeto kuolewa na Ki Aziz, tena kwa ki anachuna hapo kidogo na kusepa.....hakuna ndoa haya ni matangazo
Bebwa na wewe, huwaga washindani ni wengi washindi wachache.Kwenye mafanikio ya mwanamke ni mwanaume anahusika , na kwenye mafanikio ya mwanaume.mwanamke anahusika.
Asma kamsaidia kaka yake diamond na wema akamwona , mwema akamsaidia diamond , zari akamwona zari akamsaidia , tanasha donna so tulia kabisa watu wanabebwa huwezi tu mwenyewe