Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine

KUmbe hujui ukilala na mtu anakuwa na vitu vyako vizuri kama anamikosi nawe unapata kama hujui saivi silali namtu mpaka anioe hataki basi
Kumbe bado hujaolewa, sasa wasubiri nini??? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Still dreaming?
 
Eh sasa ndio wanaweza leta ng'ombe 70
We upoje mpaka ukae na Sampuli ya kina Aziz K maana ndege wafananao hupaa pamoja.....
A goes with A.....we ulivo utapata wa kufanana na wewe πŸ˜…
 
We upoje mpaka ukae na Sampuli ya kina Aziz K maana ndege wafananao hupaa pamoja.....
A goes with A.....we ulivo utapata wa kufanana na wewe πŸ˜…
Sio kila ndege wanafananao wanaruka pamoja HAMISA hakuwa na hela akapata watu wakamnyanyua nasio wote wanapendwa wakiwa matajiri ...
WEngine wanakuwa matajiri wakiolewa na matajiri, wengi ni wanaume wanasaidiwa na wanawake wakipata wanaenda kuoa wakina hamisa
 
Unavo sema Hamisa hakuwa na pesa wewe upo kama hamisa hata yule wa enzi za kina abdukiba na alikiba????

Hamisa alikuwa na boutique, nyumba aliokuwa akiishi ni milioni mbili na nusu kwa mwezi mtaa wa kishua, viwanja vya bei kali venye title alikuwa anavo, Hamisa alikuwa anatembelea Range Rover kali....Hamisa alikuwa brand ambassoder wa endorsement deals, nyingi achana na mauzo ya bongo movies, mwisho Hamisa alikuwa na masponsor wakumpa pesa ndefuuu for vacations zake.

Wewe wa uswahilini unajifanananisha na Hamisa Mobeto kuolewa na Ki Aziz, tena kwa ki anachuna hapo kidogo na kusepa.....hakuna ndoa haya ni matangazo
 
Kwenye mafanikio ya mwanamke ni mwanaume anahusika , na kwenye mafanikio ya mwanaume.mwanamke anahusika.

Asma kamsaidia kaka yake diamond na wema akamwona , mwema akamsaidia diamond , zari akamwona zari akamsaidia , tanasha donna so tulia kabisa watu wanabebwa huwezi tu mwenyewe
 
Bebwa na wewe, huwaga washindani ni wengi washindi wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…