Hahahahahuenda akawa kocha hapohapo uto baada ya kustaafu mpira na kukufirisika
Vipi uko ukoloni Mutale na mukwala awajaanza mchakato wa kuomba uraia🤣🤣Kweli bongo new york,yanga pale kuna kitu wachezaji wa kigeni huwa wanalishwa si bure,kuna msululu wa wachezaji waliopita yanga hawataki kurui kwao,kuanzia Makambo mpaka chirwa
Aziz Ki ameanza mchakato wa kuomba uraia huenda akawa kocha hapohapo uto baada ya kustaafu mpira na kufirisika
Huku ukoloni hatuwalishi hayo malimbwata ya wafia nchVipi uko ukoloni Mutale na mukwala awajaanza mchakato wa kuomba uraia🤣🤣
Wadau wanajipigia bure ye anatoa ng'ombe fuso mbili, kweli limbwata inafanya kaziInaitwa honey trap,kitoto cha uswazi usikute kinafinyia ndani mixer limbwata,usimlaumu sana wanaume tunapitia mengi mkuu
Uongo. Wivu tuKweli bongo new york,yanga pale kuna kitu wachezaji wa kigeni huwa wanalishwa si bure,kuna msululu wa wachezaji waliopita yanga hawataki kurudi kwao,kuanzia Makambo mpaka chirwa
Aziz Ki ameanza mchakato wa kuomba uraia huenda akawa kocha hapohapo uto baada ya kustaafu mpira na kufirisika
Hakika tuna upendo wa asili....Bongo wakarimu sana kwa wageni sio rahisi mgeni kufanyiwa fujo ,nenda congo au south ukiwa mgeni basi ni kosa kubwa .
Morisson mwenyewe anaipenda Tz imempa heshima kubwa sana.
Wacha roho mbaya kijanaKwani vina muda basi,mi naona aziz ki ni limbukeni wa mapenzi ila ajue bado anasomewa rada atakachofanywa hatakuja kuamini
Ki ni mbegu mbaya, asipewe uraiaKweli bongo new york,yanga pale kuna kitu wachezaji wa kigeni huwa wanalishwa si bure,kuna msululu wa wachezaji waliopita yanga hawataki kurudi kwao,kuanzia Makambo mpaka chirwa
Aziz Ki ameanza mchakato wa kuomba uraia huenda akawa kocha hapohapo uto baada ya kustaafu mpira na kufirisika
Hata mganga konki anaweza kurogwa "limbwata"....Kwa mara ya kwanza nimefanikiwa kumuona live mtu aliejichanganya kwenye mapenzi