Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Kwa hili la laki 3 kwa siku ,hakika shem kazi anayo haki ha ha ha ...hebu tumpeleke Kasulu tukaipunguze angalau iwe 50,000 ha ha haHatumuombei mabaya. Ila dada yetu tunamjua matumizi yake ni laki 3 kwa siku na shemeji kabakisha miaka haizidi saba,hapo ana 29,mpira ni ajira ya kipuuzi sana,soon ataitwa mzee