Aziz Ki aanza mchakato wa kuomba uraia

Aziz Ki aanza mchakato wa kuomba uraia

Kwani vina muda basi,mi naona aziz ki ni limbukeni wa mapenzi ila ajue bado anasomewa rada atakachofanywa hatakuja kuamini
Atakachofanywa lini mzeya ?!!

Furaha na raha ya siku moja ina thamani kubwa kwani HATUISHI milele hapa duniani......

Mwache shemeji aendelee kumfaidi dada etu.....
 
Ni kweli wachezaji wa kigeni walioanzia Yanga hasa wakongo huwa wanatia kambi bongo mazima na hii fashion ya uraia wa vodafasta hali itakuwa balaa.

Moringa,Shishimbi,Zahera wapo DSM mpaka kesho.
 
Kweli bongo new york,yanga pale kuna kitu wachezaji wa kigeni huwa wanalishwa si bure,kuna msululu wa wachezaji waliopita yanga hawataki kurudi kwao,kuanzia Makambo mpaka chirwa

Aziz Ki ameanza mchakato wa kuomba uraia huenda akawa kocha hapohapo uto baada ya kustaafu mpira na kufirisika
Why mumuombee mabaya kijana wa watu? Afilisike kweli?

Not that way .Usimba na Yanga usiwapeleke huku ,we are human beings bwana
 
😀mbona kufirisika tena
 
Ni kweli wachezaji wa kigeni walioanzia Yanga hasa wakongo huwa wanatia kambi bongo mazima na hii fashion ya uraia wa vodafasta hali itakuwa balaa.

Moringa,Shishimbi,Zahera wapo DSM mpaka kesho.
Si tu wanaspoti na wanamuziki....

Hata wapiga vinanda makanisa ya kilokole nao hawataki kuiondoka TZ.....

Juzi nimekutana na daktari specialist mmoja...alisomea hapa ni mkongomani...kajiolea mzaramo...anasema M 23 sio watu bora Tanzania ha ha ha
 
Bongo wakarimu sana kwa wageni sio rahisi mgeni kufanyiwa fujo ,nenda congo au south ukiwa mgeni basi ni kosa kubwa .

Morisson mwenyewe anaipenda Tz imempa heshima kubwa sana.
Tanzania pazuri, watanzania wakarimu sanaaa, mtu arudi Burkina Faso kwenye vita na njaa kweli wakati uache asali Tanzania
 
Why mumuombee mabaya kijana wa watu? Afilisike kweli?

Not that way .Usimba na Yanga usiwapeleke huku ,we are human beings bwana
Hatumuombei mabaya. Ila dada yetu tunamjua matumizi yake ni laki 3 kwa siku na shemeji kabakisha miaka haizidi saba,hapo ana 29,mpira ni ajira ya kipuuzi sana,soon ataitwa mzee
 
Back
Top Bottom