Aziz Ki aanza mchakato wa kuomba uraia

Hatumuombei mabaya. Ila dada yetu tunamjua matumizi yake ni laki 3 kwa siku na shemeji kabakisha miaka haizidi saba,hapo ana 29,mpira ni ajira ya kipuuzi sana,soon ataitwa mzee
Kwa hili la laki 3 kwa siku ,hakika shem kazi anayo haki ha ha ha ...hebu tumpeleke Kasulu tukaipunguze angalau iwe 50,000 ha ha ha
 
Ndo hivyo! Nimegive up baada ya kuona mtoto ni kisu hapo nimemzidi ubonge tu😔
Sema wachezaji wanajua kuspot bn anajinyakulia Mali matata sana nimeona Mudathir Yahaya, Fareed Muda, Dogo Moja wa Simba demu wake nyama nyingi & huko ulaya ndo balaaaa
 
Sema wachezaji wanajua kuspot bn anajinyakulia Mali matata sana nimeona Mudathir Yahaya, Fareed Muda, Dogo Moja wa Simba demu wake nyama nyingi & huko ulaya ndo balaaaa
Mademu tunafata jina, halafu siunajua wacheza mpira show show😉
 
Mademu tunafata jina, halafu siunajua wacheza mpira show show😉
Kwenye majina kweli aisee hua mda mwingine naangaliaga video za Georgina Rodriguez anavomtazama Ronaldo au majuzi kati wakati makamu wa rais Marekani (yule Muhindi) alivokua anaapishwa aisee facial gestures za mke wake🙌🙌🙌unaona kabisa huyu mdada kaloa
 
Kumbe ule mshangazi bado misuli ya ndani ipo biyeeee kufinyia vilivyo
Dada yetu nimemjulia kule Mikocheni uswazi alipokuwa anaishi na mama yake.....masela wa maeneo ya kanisa la Esta ,maeneo ya King'oko karibu na shule ya msingi Mikocheni B wanatoa ushuhuda kuwa dada ana "maumbile kificho" ya pekee na anajua nanihii mnooo....sasa "uspecialist" huo ukichanganya na "ukyuti" na limbwata la dawa ya ndizi mtwike+ nta nyeusi na talasimu katika mashimo ya vichuguu HUTOKI ,hutoki binamu.....wala simlaumu MBUKINABE.....
 
Anataka
Kubaki na hamisa mobeto mpaka kifo kiwatenganishe
 
Akitaka ajue wabongo hawana maana siku achomeshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…