Aziz Ki acha ushamba, Hamisa Mobeto hana hata Mahari ya kuku kumi (10)

Aziz Ki acha ushamba, Hamisa Mobeto hana hata Mahari ya kuku kumi (10)

Kwahio vijana wa Kitanzania mna muonea wivu Hamisa, mlitaka Aziz awashenyete nyie..?
Embu huo umasikini wivu chuki makasiriko na upuuzi wenu pelekeni kijijini kwenu waacheni waoane...
By the way hapo kwanza Kitaifa tumefaidika na hiyo ndoa...
Niishie tu kusema Mwana kasomeshwa gazeti la kufungia maandazi!
 
Mchezaji ukiingia kwenye 18 zao wanakubadilisha dini au wanakuozesha. Na mwisho wa siku timu yetu ikishinda wazee wa dini wa timu yetu wanakuja kuiombea Dua timu yetu.
 
Sijui ni kwanini Wanaume wengi wa Afrika Magharibi ni Washamba mno wa Mbunye na sishangai ndiyo maana Wanaume wa Afrika Mashariki tunawazidi Ujanja na Akili.

Kwa Hamisa Mobeto ninayemjua Mimi ningekuwa Mimi ndiyo nataka Kumuoa ningetoa Mahari ya Shilingi Elfu Hamsini za Kitanzania na Kuku Jike mmoja na Jogoo mmoja tu.

Gari bovu huwa haligharamiwi sana Oky?
Sijui kampani yake ni akina nani,ila kama angekuwa na mtoto wa Kino Mkude,kidogo angewaelewa wanawake wa mjini. Mkude kamla Kajala kimya kimya baadae kapiga chini.
 
Hivi hii methali ya kiswahili huwa Ina maana Gani?mpaka Leo sijawahi elewa na Ile KATA PUA UUNGE WAJIHI,ama kweli safari za Marco polo ziligundua kiswahili 🤣🤣🤣
"KATA PUA UUNGE WAJIHI"

MAANA: Katika maisha kuna wakati mtu hulazimika kuilinda heshima/hadhi yake hata kama itamgharimu ili kusudi asiadhirike. Mfano, Kuweka rehani mali zake ili alipe deni.


JIBU:-Kimfaacho mtu chake-Heri kwenda mrama kuliko kuzama-Ondoa dari uezeke paa
 
Sio kwamba hajui hayo mnayoyasema ila tu unapokuwa napesa unaenjoy maisha bila shida hizo mln30 alizotoa nisawa tu! Mbn hamsemi mtu anapokea mshahara wa laki6 anahonga laki4, kwan huyo azizi ki analipwa shingapi? Acha watu watumie hela zao. Hayo ndo matumizi yenyewe akothe wa Kenya alipewa mahari bilioni mbn ham kusema?
 
Back
Top Bottom