Aziz Ki acha ushamba, Hamisa Mobeto hana hata Mahari ya kuku kumi (10)

Yule muhuni wa kwetu Mbagala si alikaa naye bila kutoa ata shilingi kumi chafu sio? Sasa home boy wa Bukinabe kafeli wapi?

Eng.Said si huwa wanasema ni mtoto wa mjini kashindwa vipi kumsanua mwanetu?

Kila la kheri kwa KI Aziz
FT Ki Aziz 0 : Hamisa 3
Bwana K. katengezewa mazingira ya kupigwa pesa na watoto wa mjini dalisalama, injinia ni mtu wa kufanyia kazi kila fursa inayojitokeza, bongo sio.
 
Binafsi siwezi kuoa au kutoa mahari wala kutambulishwa kwa wazazi na mwanamke singo maza tena wa mtoto mmoja, labla nitie mimba tuu maisha yaendelee
 
Mahari ni makubaliano ya mume na mke, ww kama hauna uwezo wa kutoa kias hicho ni ww.
Na ndio maana Kuna mwingine anaweza kutoa gari kumpa mwanamke, lakini mwingine hata kumpa mwanamke laki Moja hawezi. Kwa hiyo huo sio ushamba bali mfuko unaruhusu
 
Kuna wengine mifuko hairuhusu lakini wanapambana kutoa. Maisha ndivyo yalivyo
 
Sijui ni kwanini Wanaume wengi wa Afrika Magharibi ni Washamba mno wa Mbunye na sishangai ndiyo maana Wanaume wa Afrika Mashariki tunawazidi Ujanja na Akili.

Kwa Hamisa Mobeto ninayemjua Mimi ningekuwa Mimi ndiyo nataka Kumuoa ningetoa Mahari ya Shilingi Elfu Hamsini za Kitanzania na Kuku Jike mmoja na Jogoo mmoja tu.

Gari bovu huwa haligharamiwi sana Oky?

Pia soma: Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto
Kwani anakuoa wewe?

Acheni Wivu wa kike
 
Hamisa ndo kaazima hao ng'ombe mnadani Pugu. Baada ya picha wanarudishwa
 
Sijui ni kwanini Wanaume wengi wa Afrika Magharibi ni Washamba mno wa Mbunye na sishangai ndiyo maana Wanaume wa Afrika Mashariki tunawazidi Ujanja na Akili.

Kwa Hamisa Mobeto ninayemjua Mimi ningekuwa Mimi ndiyo nataka Kumuoa ningetoa Mahari ya Shilingi Elfu Hamsini za Kitanzania na Kuku Jike mmoja na Jogoo mmoja tu.

Gari bovu huwa haligharamiwi sana Oky?

Pia soma: Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto
Hana bikra zote yule
 
Yule muhuni wa kwetu Mbagala si alikaa naye bila kutoa ata shilingi kumi chafu sio? Sasa home boy wa Bukinabe kafeli wapi?

Eng.Said si huwa wanasema ni mtoto wa mjini kashindwa vipi kumsanua mwanetu?

Kila la kheri kwa KI Aziz
FT Ki Aziz 0 : Hamisa 3
Eng.Said born town kweli.
Pesa ya wabongo haiendi kujenga Burkinabe. Analipwa pesa ndefu nyingi inabaki bongoland.
 
Back
Top Bottom