Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Hahahaa sakata la Aziz Ki bora limeisha. Ukwelii Aziz alishaingiziwa mzigo akiwa huko kwao.
Kilichoendelea ni kuwachezesha Simba viongozi kadhaa wamempigia wakaimba naye weee akawaahidi akitua atakuja kumalizana nao.
Masikini Ahmed Ally akakimbilia mtandaoni hajasaini unajua Azizi mtu makini asaini kijinga anataka timuyenye hela yenye kumaliza shida zake na wana Simba mda si mrefu mtamfurahia Azizi Ki simba.
Alipotua akazima simu akakutana na kazi za Eng. zikmsubiria huku wahuni wa simba wakiwa pembeni kuangalia anaelekea wapi.
Akiwa huko aliambiwa ukifika kuna mtu atakupigia yuko xyz atavaa yzd.
Kufika wana Hersi wakapita naye wakaelekea hukoo jamaa wakakimbilia alipokuwa anaishi choma sana mihogo subiria holaaa.
Kazi ikamalizwa mapema baada ya viongozi kuona kama Mateso tumewapa imetosha kazi ndio hiiiiiiiii.
Mo na wenzie hawatawasahau milelelee