Aziz Ki amewahadaa sana viongozi wa Simba, hawatamsahau kamwe

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hahahaa sakata la Aziz Ki bora limeisha. Ukwelii Aziz alishaingiziwa mzigo akiwa huko kwao.

Kilichoendelea ni kuwachezesha Simba viongozi kadhaa wamempigia wakaimba naye weee akawaahidi akitua atakuja kumalizana nao.

Masikini Ahmed Ally akakimbilia mtandaoni hajasaini unajua Azizi mtu makini asaini kijinga anataka timuyenye hela yenye kumaliza shida zake na wana Simba mda si mrefu mtamfurahia Azizi Ki simba.

Alipotua akazima simu akakutana na kazi za Eng. zikmsubiria huku wahuni wa simba wakiwa pembeni kuangalia anaelekea wapi.

Akiwa huko aliambiwa ukifika kuna mtu atakupigia yuko xyz atavaa yzd.


Kufika wana Hersi wakapita naye wakaelekea hukoo jamaa wakakimbilia alipokuwa anaishi choma sana mihogo subiria holaaa.

Kazi ikamalizwa mapema baada ya viongozi kuona kama Mateso tumewapa imetosha kazi ndio hiiiiiiiii.

Mo na wenzie hawatawasahau milelelee
 
Mtonyo alioingiziwa na wananakolo aliurudisha?.


Aahaaa
 
KaoleDrama Fc Vol 2.
Vol 1 ft Mabeto hamisa imeuza uza ngoja tuone hii.
 
Ukiona mtu anatumia herufi kubwa kwenye uandishi wake anajua hata la7 hakumaliza.
KWENYEEEE UKOOO WENUUHH ELIMU YANGUU MNAHESABIKAA WEWE PIMBIII

SIJASOMAAAAAA TUMAINIII WALAA OPEN PUNBAVUUU WEWEEEE...

KWENYE FAMILIA YAKOOO NDOOO KABISAA HATA WANAO YAWEZEKANA WASIFIKE ELIMU YANGU
.SEMA.AMEEN KAMA HUJAKASIRIKA N JESUS NAME
 
Masters ya UDSM? amefanya ugunduzi gani unaoweza kutatua kero za jamii yetu? Au ndiyo zile masters za kukaa maofizini kusubiri mishahara?
Pimbiii msameheee mpwaa
 
Koma wewe, Pdidy ana Masters ya Udsm.
Kama ni kweli basi ajengewe sanamu aliyesema "linapokuja swala la utopolo ni ngumu sana kumtofautisha msomi na muokota makopo jalalani maana wote akili zao zinakuwa sawa"
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
aziz ki alisaini yanga june
 
Simba hawana ujinga wa kumsajili mchezaji wa kiwango cha Aziz Ki kwa kumpa sh. bilioni 1.2
 
Uthibi
Uthibirisho tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…