Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Huu ndiyo ukweli, mpira wa Asec Memosa ni mpira wa kasi, siyo wa taratibu. Na wachezaji wengi wa Afrika Magharibi wanacheza mpira wa kasi. Timu pekee kwa Tanzania kwa sasa inayocheza mpira wa kitaalamu na wenye ubunifu ni Simba SC. Hivyo usahili wa Ki hapo Yanga haujaleta matokeo kulingana na mpira wa hovyo wanocheza Yanga.