Tetesi: Aziz ki kurudi yanga kama wydad wasipo lipa 10/07/2025

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
Aziz Ki bado ana nafasi ya kurejea Yanga

Aziz Ki alijiunga na Wydad kwa mkopo mfupi wenye kipengele cha kununuliwa mazima kabla ya tarehe 10/07/2025.

Makubaliano ya Yanga na Wydad ni kulipwa pesa ya usajili wa Aziz (signing fee) ya Tsh 1.7b kabla ya tarehe 10/07/2025 lah sivyo Aziz atarejea nchini.

Wydad na Aziz walihitajiana sana kuelekea FIFA Club world Cup hivyo ikabidi kiwekwe kipengele cha kulipa pesa hiyo kabla ya tarehe 10 endapo watalidhika na kiwango chake.

Kisheria Aziz bado ni mchezaji wa Yanga ndiyo maana bado hajaondoa “Profile Picture” ya Yanga kwenye Instagram yake,unless Wydad wamalizane na Yanga kabla ya july 10
 
Screenshot_20250627_202016_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom