Aziz Ki ni kati ya Wachezaji 8 Wanaolipwa mshahara mkubwa zaidi ligi ya Afrika

Aziz Ki ni kati ya Wachezaji 8 Wanaolipwa mshahara mkubwa zaidi ligi ya Afrika

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
228
Reaction score
933
𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄...!
Kwa Mujibu wa AfrikaFactsZone Hawa Hapa ni Wachezaji Wanaolipwa Zaidi Katika Ligi za Afrika Kila Mwaka.

01: Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ - Ali Maaloul πŸ‡ΉπŸ‡³ | $1.5 million | Al Ahly

02: South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ - Ronwen Williams πŸ‡ΏπŸ‡¦ | $320,000 | Mamelodi Sundowns

03: Angola πŸ‡¦πŸ‡΄ - Tiago AzulΓ£o | $263,000 | Petro de Luanda

04: Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ - Stephane Aziz Ki πŸ‡§πŸ‡« | $240,000 | Young Africans SC

05: Rwanda πŸ‡·πŸ‡Ό - Richmond Lamptey πŸ‡¬πŸ‡­ | $120,000 | APR FC

06: Zimbabwe πŸ‡ΏπŸ‡Ό - Khama Billiat πŸ‡ΏπŸ‡Ό | $72,000 | Scotland Fc

07: Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ - Sikiru Alimi πŸ‡³πŸ‡¬ | $10,163 | Remo Stars

08: Eswatini πŸ‡ΈπŸ‡Ώ - Neliswa Dlamini πŸ‡ΈπŸ‡Ώ | $7,672 | Nsingizini Hotspurs FC


IMG_3001.jpeg
 
Kijana wetu Stephane Aziz Kii tangu akosekane kwenye mechi kadhaa zilizopita, naona kama ameongezeka uzito. Bila shaka walimu wake wa viungo watamsaidia ili arejee kwenye hali yake ya kawaida.
 
Kijana wetu Stephane Aziz Kii tangu akosekane kwenye mechi kadhaa zilizopita, naona kama ameongezeka uzito. Bila shaka walimu wake wa viungo watamsaidia ili arejee kwenye hali yake ya kawaida.
Kuna mtu aliwahi kupost picha mbili za Aziz Ki, moja alipokuwa amekuja TZ nyingine ya hivi karibuni na tofauti ni kubwa sana. Ule upaja na msuli aliokuwa anaturingishia umepotea kabisa.
 
hiyo ni kawaida kwenye mpira,hivi unadhani wale wachezaji wa man utd wanastahili kulipwa hata senti 5!!!
Nimekupata. Maisha ni kama safari. Kuna wakati unapita njia tambarare, wakati mwingine mteremko na wakati mwingine unaibukia kwenye mwinuko au mlima. Ukifika kwenye mlima safari huwa inakuwa ngumu.... Pamoja na ugumu tunatakiwa kujitia nguvu na kuendelea na safari...
 
Back
Top Bottom