Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 228
- 933
Afadhali umetaja walimu mkuu kuna mwamba atakuja sema mabeto apunguze beto .Kijana wetu Stephane Aziz Kii tangu akosekane kwenye mechi kadhaa zilizopita, naona kama ameongezeka uzito. Bila shaka walimu wake wa viungo watamsaidia ili arejee kwenye hali yake ya kawaida.
Kuna mtu aliwahi kupost picha mbili za Aziz Ki, moja alipokuwa amekuja TZ nyingine ya hivi karibuni na tofauti ni kubwa sana. Ule upaja na msuli aliokuwa anaturingishia umepotea kabisa.Kijana wetu Stephane Aziz Kii tangu akosekane kwenye mechi kadhaa zilizopita, naona kama ameongezeka uzito. Bila shaka walimu wake wa viungo watamsaidia ili arejee kwenye hali yake ya kawaida.
Tumepigwa mkuu, wewe una mchango mkubwa kuliko Aziz Ki.Sawa. Je, kiasi anacholipwa Aziz Ki, kinaendana na mchango wake kwa Yanga au tulipigwa?
Atajua kumjua Kiongozi wa wadangajiKajichanganya kwa wadangaji vibaya
hiyo ni kawaida kwenye mpira,hivi unadhani wale wachezaji wa man utd wanastahili kulipwa hata senti 5!!!Sawa. Je, kiasi anacholipwa Aziz Ki, kinaendana na mchango wake kwa Yanga au tulipigwa?
Bongo ukiamua kununa unakuwa umejitakia mwenyewe.$240,000 kwa mwaka kwa hiyo analipwa $20,000 kila mwezi π
Nimekupata. Maisha ni kama safari. Kuna wakati unapita njia tambarare, wakati mwingine mteremko na wakati mwingine unaibukia kwenye mwinuko au mlima. Ukifika kwenye mlima safari huwa inakuwa ngumu.... Pamoja na ugumu tunatakiwa kujitia nguvu na kuendelea na safari...hiyo ni kawaida kwenye mpira,hivi unadhani wale wachezaji wa man utd wanastahili kulipwa hata senti 5!!!
Hurrrrraayyy Aziz hurrrrraayyy πππ€