Aziz kii anakosolewa sana lakini huwa anaivusha timu kwenye mazingira magumu

Aziz kii anakosolewa sana lakini huwa anaivusha timu kwenye mazingira magumu

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Mashabiki wa Yanga hizi karibuni wamekuwa wakimkosoa sana kuwa ameshuka viwango na hata wengine kudiriki kusema auzwe. Nadhani asingefungwa jana na timu kutolewa kelele zingepigwa sana kama jinsi Prince Dube alivyopondwa jana.

Tusiwakatie tamaa wachezaji
 
Aziz ni professional player hateteleki namaneno yataarabu zawabongo
 
Wachezaji wa Yanga huwa wanaipenda Yanga kutoka moyoni kwahiyo hata ukiwasema huwa wanajua wana deni na sisi mana wanajua tunawapenda sana na tumawategemea
 
Back
Top Bottom