Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Jmushi1,
Nafikiri ni wanawake tu ambao sio Watanzania na wameolewa na Watanzania wanaruhisiwa kuwa na uraia wa nchi mbili kwa Tanzania. Pia kuna vijana chini ya umri wa miaka 18.
Makundi mengine yeyote, kama wewe una uraia wa nchi nyingine basi kisheria huna uraia wa Tanzania.
MgonjwaUkimwi,Naomba nitofautiane na wewe kidogo hapa, nijuavyo mimi mteuliwa ndio wakwanza kuelezwa juu ya posting anayotakiwa kupewa. Dr Azziz alijuwa fika kwamba yeye ni raia wa Sweden alitakiwa aseme hilo hata kabla ya process. Tatizo naloliona hapa ni watanzania kutokuwa wakweli hata pale maslahi ya taifa yanapokuwa at stake, na kufikiri kwamba kiujanja ujanja wanaweza kupindisha ukweli.
Yeye angesema tu kwamba kwa Sweden haitawezekana, labda nchi nyingine. Hivi ukweli unauzwa kwa shilingi ngapi?
Naomba nitofautiane na wewe kidogo hapa, nijuavyo mimi mteuliwa ndio wakwanza kuelezwa juu ya posting anayotakiwa kupewa. Dr Azziz alijuwa fika kwamba yeye ni raia wa Sweden alitakiwa aseme hilo hata kabla ya process. Tatizo naloliona hapa ni watanzania kutokuwa wakweli hata pale maslahi ya taifa yanapokuwa at stake, na kufikiri kwamba kiujanja ujanja wanaweza kupindisha ukweli.
Yeye angesema tu kwamba kwa Sweden haitawezekana, labda nchi nyingine. Hivi ukweli unauzwa kwa shilingi ngapi?
Yebo Yebo,
Alipewa nafasi ya kuukana uraia huo akakataa. That is the issue! He wants to have his cake and eat it too. Yaani atumikie Tanzania, afaidike na baadaye anapostaafu anarudi kwao.
Hakuna ubaya na kuwa na uraia wa nchi mbili. Lakini pia sitaki raisi wetu, waziri mkuu, mawaziri wetu, wakuu wetu wa usalama wa taifa na wale wa majeshi ya ulinzi na usalama kuwa na uraia wa nchi mbili. Na wengine wanaweza kuongezwa. Iandikwe sheria iliyo wazi na inayoeleweka kwa wengi kwa urahisi. Lakini swala kuwanyima kabisa watu uraia wa nchi mbili kwa visingizio vya kwamba wanaweza kuja kuwa maraisi havina msingi. Mbona sasa hivi tuna sheria zinazoainisha sifa za mtu ambaye anaweza kugombea uraisi? Na mimi hapa nilipo kwa vile sina sifa hizo wala sitajisumbua kugombea huo uraisi. Come on guys....acheni hizo
Radosław Sikorski (born 23 February 1963 in Bydgoszcz, Poland.
Martial law in Poland refers to the period of time from December 13, 1981 to July 22, 1983, he fled to Britain, which granted him asylum the following year.
He then worked as a freelance journalist. In 1984, he took British citizenship. In the mid-1980s, Sikorski worked as a war correspondent in Afghanistan and Angola.
Returning to Poland, in 1992 he briefly became deputy defence minister in the Jan OlszewskiJan Olszewski
During the latter appointment, Sikorski became notorious in the Polish expatriate community, Polonia.
Currently he is the Minister of Foreign Affairs of the Republic of Poland.
jmushi1Shukran mkuu,kwahiyo basi ina maana Jasusi na Yebo Yebo wako wrong wanapodai kuwa kuna watanzania wenye dual citizenship?
Binafsi nadhani kuna watanzania wenye ku act kama wana dual ie hao ambassadors wa nchi za middle east,lakini ukweli ni kwamba theres nothing as such as a Tanzanian with dual,is that rgt?
Yebo Yebo,Iwapo hili hapa chini lilitokea sioni sababu ya kumlaumu Dr Aziz...
Kwa mujibu wa Jasusi, Dr Aziz hakuficha kuwa ana-uraia wa nchi hiyo nyingine hivyo wa kulaumiwa tena wanastahili kuathibiwa kiofisi ni hao waliofanya uamuzi wa kupeleka jina kwa Rais.
Nadhani atakuwa ameonewa kama loyalty yake ikipimwa kwa level hii,kwasababu first si nafasi ya urais ama hizo nyinginezo za usalama,jeshi nk....Pili sidhani kama ali apply,nadhani majina yanapendekezwa na watu flani...Ofcourse inaonyesha serikali haijali kwani iko mguu ndani mguu nje,hii ni kama habari za kuwapeleka mabalozi wasiokuwa raia wa Tanzania kwenye nchi zisizouliza kama Saudi nk.Yebo Yebo,
Sikusema kuwa the said official hakuficha. Kilichotokea ni kwamba ile nchi aliyokuwa aende kuwa balozi ndio waliofichua kuwa huyu mbona ni raia wetu? Na ili kuokoa jahazi wapakendekeza akane uraia wao. Akakataa. That is what I said. He wanted to have his cake and eat it too. Talk about loyalty!
inadaiwa yeye ni raia wa huko huko tayari.. sasa nchi inampendekezaje raia wa nchi nyingine kuwa balozi wake?
Labda hili suala la dual citizenship inabidi tulifikiria jinsi litakavyofanya kazi kwa public servants wetu isije kutokea yale ya Fujimori kule Peru!
Thanks ka nzi!
Mzee Mwanakijiji,
..nahisi jamaa yako kaingizwa mjini huyo.
.kama anautaka ubalozi aombe na ang'ang'anie apelekwe Middle East ambako hawana longolongo/hawachunguzi kama wanavyofanya jamaa wa European Union.
kwa hiyo unafikiri tunaweza kuwa na Rais ambaye si Mtanzania? sijazungumzia tatizo la kuwa na mtu ambaye si Mtanzania kushika nafasi mbalimbali hata Zanzibar waliwahi kukopa Jaji Mkuu kutoka Nigeria???
Marekani haina uraia wa nchi mbili kama watu wanavyoamini; Marekani inatambua uraia wake tu.
Tusipoweka mambo vizuri.. watawala wetu watakuwa ni raia wa nchi nyingine huku wakifanya mambo bila ya kujali maslahi ya nchi yetu hii kwani wanajua tukitaka kuwatia pingu wanaonesha passport zao au zile za watoto wao na kutimka kwenda "kwao"!
so.. tunaporuhusu uwezekano wa mtu kuwa na uraia wa nchi zaidi ya moja ni lazima wakati huo huo tuainishe vizuri kabisa mipaka ya jambo hilo. Sasa kama wakati huu ambapo hatuna sheria hiyo na tunajua kuwa mtu akiwa na uraia wa nchi nyingine anakuwa ameuakana uraia wetu inakuwaje katika akili timamu tunampendekeza kutuwakilisha kwenye nchi nyingine wakati siyo raia wetu!?
Kuna watu ambao walikuwa karibu sana na serikali yetu kwa miaka mingi baada ya mambo kutulia kwenye nchi zao wakafunga virago na kurudi "kwao" a.k.a Wanyarwanda tuliowadhania ni Waangaza!
Nadhani Mkjj amesimama kidete kuupinga uDC...kila la heri Mkjj lakini ujue Watanzania wa 2010 ni tofauti sana na wale wa mwaka 47 ambao walikuwa wakipata bahati ya kupata kazi nchi za nje kutokana na kuwa na vyeti vya nguvu asilimia 99% bado walifikiria kurudi nyumbani ili wakasukume "gurudumu la maendeleo". Hawa wa 2010 hawalazi damu wakipata tu opportunity ya kuuchangamkia uraia, basi hufanya hivyo haraka sana bila kujali Tanzania kama itaruhusu uDC au la.
Serikali iko bias hapa,ni kama inautambua urai wa nchi mbili na wakati huo huo haiutambui.
jmushi1
Hapana. Sijakosea. Kuna Watanzania wana uraia wa nchi mbili kama si zaidi. Shida inakuja kwenye sheria zetu na udhibiti wake. Either hatuna uwezo wa kuwashughulikia au basi tu hatuna ari ya kuhakikisha sheria inafuatwa. Tena wamejaa serikalini. Hata waziri mmoja inashukiwa ni dual citizen. Lakini usinichokonoe zaidi.
Haiko biased. Iko dysfunctional, confused, and discombobulated.