Azizi ki amvulia kofia Chama

Mnapenda kujiona nyie ndo mnakubaliwa zaidi??
Naona mapovu..
 
Usisahau pia kuwa edo ni mwanachama hai kabisa wa utopolo
Awe mwanachama au asiwe Mimi hainihusu.

Mimi ni shabiki wa mpira na siyo msukule wa mchambuzi au watimu yoyote.

Wachambuzi wanaangalia pesa siyo kuwa msukule kama wewe. Wengi wanahongwa na wachezaji, wanajifanya mawakala wa wachezaji na ni madalali.
 
Chama anawasumbua Sana yanga, Kila msimu wanamsajili lakini hachezi. Kila wakisajili mchezaji lazima wamlinganishe na Chama.
 
Kuna Sheria imevunjwa au Ni hii post tu.

Kwamba mnapenda kusikia yanayofurahisha mioyo yenu. Mawazo mbadala hapana.

Anayeweza kukataa haya maneno Ni Aziz Ki pekee.

Wewe ulikuwa nao hotelini?

Wewe Ni msemaji wa Ki?

Punguzeni umaandazi.
 
Utoto + togwa raha sana.
 
Amefika fainali yoyote ya CAF huyo CHAMA?
 
Yanga Bana alianza Feisal akalambishwa nyasi mchana kweupe Taifa, wakaja kwa Aziz Ki wakaenda kwa Pacome wamerudi kwa Aziz Ki [emoji23][emoji23]
 
Tujitahidi kutengeneza pia wachezaji wa ndani......maana tunapigwa gap kubwa.....hatuna shule za vijana wetu .....sijui scouting tunapata wapi vipaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…