Azizi ki amvulia kofia Chama

Azizi ki amvulia kofia Chama

Wakati mwingine tupunguze mahaba ya Wachezaji kisa nashabikia timu fulani. Aziz Ki hajafikia hadhi ya Chama hata kwa 20%. Chama ana misimu zaidi ya 4 kiwa kwenye Peak, kesha onja Soka la Ushindani Zambia, Tanzania, Moroco nk.
Cham ni mchezaji anatumia akili na arts kwenye uchezaji wake.
Aziz Ki akili kiasi n Nguvu 100%. Yanga ndio 2nd Klabu yake, huu ni msimu wake wa pili hatujui mwendelezo wake. Kwahiyo tuache kulinganisha IST na BAJAJ. Ki asubiri 2025 ndipo tumlinganishe na Chama.
Chama wa WIDA War in Dar, Chama wa Do or Die uje umlinganishe na huyu mpiga nyento wa Wagadugu?? Lets be fair pls

bocco(chama) vs baleke(aziz k)
 
Wakati mwingine tupunguze mahaba ya Wachezaji kisa nashabikia timu fulani. Aziz Ki hajafikia hadhi ya Chama hata kwa 20%. Chama ana misimu zaidi ya 4 kiwa kwenye Peak, kesha onja Soka la Ushindani Zambia, Tanzania, Moroco nk.

Cham ni mchezaji anatumia akili na arts kwenye uchezaji wake. Aziz Ki akili kiasi n Nguvu 100%. Yanga ndio 2nd Klabu yake, huu ni msimu wake wa pili hatujui mwendelezo wake. Kwahiyo tuache kulinganisha IST na BAJAJ. Ki asubiri 2025 ndipo tumlinganishe na Chama.

Chama wa WIDA War in Dar, Chama wa Do or Die uje umlinganishe na huyu mpiga nyento wa Wagadugu?? Lets be fair pls
Haya ni maneno kutoka kwa mtu aliyejaza kinyesi kichwani anadhani ni ubongo!
 
Wakati mwingine tupunguze mahaba ya Wachezaji kisa nashabikia timu fulani. Aziz Ki hajafikia hadhi ya Chama hata kwa 20%. Chama ana misimu zaidi ya 4 kiwa kwenye Peak, kesha onja Soka la Ushindani Zambia, Tanzania, Moroco nk.

Cham ni mchezaji anatumia akili na arts kwenye uchezaji wake. Aziz Ki akili kiasi n Nguvu 100%. Yanga ndio 2nd Klabu yake, huu ni msimu wake wa pili hatujui mwendelezo wake. Kwahiyo tuache kulinganisha IST na BAJAJ. Ki asubiri 2025 ndipo tumlinganishe na Chama.

Chama wa WIDA War in Dar, Chama wa Do or Die uje umlinganishe na huyu mpiga nyento wa Wagadugu?? Lets be fair pls
Hakika umethibitisha Umbumbumbu unaomiliki akilini mwako.. kama hujui kitu Bora unyamaze Tu... [emoji16][emoji2]
 
Nashkuru kwa Chama kutumika kama kipimo cha kiungo Bora ktk soka letu. Ukileta kiungo wako sharti alinganishwe na Chama [emoji23][emoji23]
Amethibitisha hilo bila kujijua [emoji23]
 
Wakati mwingine tupunguze mahaba ya Wachezaji kisa nashabikia timu fulani. Aziz Ki hajafikia hadhi ya Chama hata kwa 20%. Chama ana misimu zaidi ya 4 kiwa kwenye Peak, kesha onja Soka la Ushindani Zambia, Tanzania, Moroco nk.

Cham ni mchezaji anatumia akili na arts kwenye uchezaji wake. Aziz Ki akili kiasi n Nguvu 100%. Yanga ndio 2nd Klabu yake, huu ni msimu wake wa pili hatujui mwendelezo wake. Kwahiyo tuache kulinganisha IST na BAJAJ. Ki asubiri 2025 ndipo tumlinganishe na Chama.

Chama wa WIDA War in Dar, Chama wa Do or Die uje umlinganishe na huyu mpiga nyento wa Wagadugu?? Lets be fair pls
Morocco ipi?? Aliyokimbia?? Sasa ushindani kaukimbia unawezaje kumuita mshindani.
Mchezaji wa mechi ndogo vs mchezaji wa mechi kubwa, acha kuwafananisha
 
Huyo azizi ki amecheza timu gani kubwa Africa ?
 
Huyo chama Amefika final yoyote ya CAF kwanza ili tumjadili?
 
Back
Top Bottom