chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Wakati mwingine tupunguze mahaba ya Wachezaji kisa nashabikia timu fulani. Aziz Ki hajafikia hadhi ya Chama hata kwa 20%. Chama ana misimu zaidi ya 4 kiwa kwenye Peak, kesha onja Soka la Ushindani Zambia, Tanzania, Moroco nk.
Cham ni mchezaji anatumia akili na arts kwenye uchezaji wake.
Aziz Ki akili kiasi n Nguvu 100%. Yanga ndio 2nd Klabu yake, huu ni msimu wake wa pili hatujui mwendelezo wake. Kwahiyo tuache kulinganisha IST na BAJAJ. Ki asubiri 2025 ndipo tumlinganishe na Chama.
Chama wa WIDA War in Dar, Chama wa Do or Die uje umlinganishe na huyu mpiga nyento wa Wagadugu?? Lets be fair pls
bocco(chama) vs baleke(aziz k)