Azizi ki amvulia kofia Chama

Msukule shangazi yako mbwa wewe
 
Comments reserved
 
Yanga Bana alianza Feisal akalambishwa nyasi mchana kweupe Taifa, wakaja kwa Aziz Ki wakaenda kwa Pacome wamerudi kwa Aziz Ki [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga Bana alianza Feisal akalambishwa nyasi mchana kweupe Taifa, wakaja kwa Aziz Ki wakaenda kwa Pacome wamerudi kwa Aziz Ki [emoji23][emoji23]
Haha mkuu umenikumbusha hiyo siku [emoji23][emoji23]
 
Maneno hayawagi na uhalisia asilimia 100 ila vitendo ndoo majibu ...... Azizi ki yuko vizuri kuliko chama Mfano Guardiola anawapambaga Sana makocha baadhi kuwa ni bora ila akaikutana nao ni vichapo tu vinahusika
 
Tujitahidi kutengeneza pia wachezaji wa ndani......maana tunapigwa gap kubwa.....hatuna shule za vijana wetu .....sijui scouting tunapata wapi vipaji
Ng'ombe anapelekwa tu mtoni ila halazimishwi kunywa maji
 
Maneno hayawagi na uhalisia asilimia 100 ila vitendo ndoo majibu ...... Azizi ki yuko vizuri kuliko chama Mfano Guardiola anawapambaga Sana makocha baadhi kuwa ni bora ila akaikutana nao ni vichapo tu vinahusika
Uzuri wa azizi ki ni upi over chama ?
 
Aziz ki ni mchezaji wa umri mdogo anaeprove makubwa national team na klabu yake ......

Statistics za Aziz ki ni kubwa katika umri mdogo kulinganisha na chama ambaye peak imeanza jioni huku
Hahahaha haya tuwekee statistics za azizi ki na chama
 
TANZANIA [emoji1241] NI NCHI TAJIRI CHAPA KAZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…