chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Wakati mwingine tupunguze mahaba ya Wachezaji kisa nashabikia timu fulani. Aziz Ki hajafikia hadhi ya Chama hata kwa 20%. Chama ana misimu zaidi ya 4 kiwa kwenye Peak, kesha onja Soka la Ushindani Zambia, Tanzania, Moroco nk.
Cham ni mchezaji anatumia akili na arts kwenye uchezaji wake.
Aziz Ki akili kiasi n Nguvu 100%. Yanga ndio 2nd Klabu yake, huu ni msimu wake wa pili hatujui mwendelezo wake. Kwahiyo tuache kulinganisha IST na BAJAJ. Ki asubiri 2025 ndipo tumlinganishe na Chama.
Chama wa WIDA War in Dar, Chama wa Do or Die uje umlinganishe na huyu mpiga nyento wa Wagadugu?? Lets be fair pls
Nashkuru kwa Chama kutumika kama kipimo cha kiungo Bora ktk soka letu. Ukileta kiungo wako sharti alinganishwe na Chama [emoji23][emoji23]Maana yake ni kwamba Yanga kuna kina Chama wengi tumia akili
Haya ni maneno kutoka kwa mtu aliyejaza kinyesi kichwani anadhani ni ubongo!Wakati mwingine tupunguze mahaba ya Wachezaji kisa nashabikia timu fulani. Aziz Ki hajafikia hadhi ya Chama hata kwa 20%. Chama ana misimu zaidi ya 4 kiwa kwenye Peak, kesha onja Soka la Ushindani Zambia, Tanzania, Moroco nk.
Cham ni mchezaji anatumia akili na arts kwenye uchezaji wake. Aziz Ki akili kiasi n Nguvu 100%. Yanga ndio 2nd Klabu yake, huu ni msimu wake wa pili hatujui mwendelezo wake. Kwahiyo tuache kulinganisha IST na BAJAJ. Ki asubiri 2025 ndipo tumlinganishe na Chama.
Chama wa WIDA War in Dar, Chama wa Do or Die uje umlinganishe na huyu mpiga nyento wa Wagadugu?? Lets be fair pls
Ongeza sauti mkuu likuelewe hili tutusa!Chama afikii career ya aziz ki kwenye kwa vilabu,ki kacheza hadi ulaya kwa taarifa yako
Hakika umethibitisha Umbumbumbu unaomiliki akilini mwako.. kama hujui kitu Bora unyamaze Tu... [emoji16][emoji2]Wakati mwingine tupunguze mahaba ya Wachezaji kisa nashabikia timu fulani. Aziz Ki hajafikia hadhi ya Chama hata kwa 20%. Chama ana misimu zaidi ya 4 kiwa kwenye Peak, kesha onja Soka la Ushindani Zambia, Tanzania, Moroco nk.
Cham ni mchezaji anatumia akili na arts kwenye uchezaji wake. Aziz Ki akili kiasi n Nguvu 100%. Yanga ndio 2nd Klabu yake, huu ni msimu wake wa pili hatujui mwendelezo wake. Kwahiyo tuache kulinganisha IST na BAJAJ. Ki asubiri 2025 ndipo tumlinganishe na Chama.
Chama wa WIDA War in Dar, Chama wa Do or Die uje umlinganishe na huyu mpiga nyento wa Wagadugu?? Lets be fair pls
Hii sentence peke yake, inaonesha ni Kwa namna gani ulivyomweupe kwenye issue za mpira.Aziz Ki akili kiasi n Nguvu 100%. Yanga ndio 2nd Klabu yake,
Afike kwanza final ya CAF shindano lolote ndio tuanze kujadilianaNashkuru kwa Chama kutumika kama kipimo cha kiungo Bora ktk soka letu. Ukileta kiungo wako sharti alinganishwe na Chama [emoji23][emoji23]
Morocco ipi?? Aliyokimbia?? Sasa ushindani kaukimbia unawezaje kumuita mshindani.Wakati mwingine tupunguze mahaba ya Wachezaji kisa nashabikia timu fulani. Aziz Ki hajafikia hadhi ya Chama hata kwa 20%. Chama ana misimu zaidi ya 4 kiwa kwenye Peak, kesha onja Soka la Ushindani Zambia, Tanzania, Moroco nk.
Cham ni mchezaji anatumia akili na arts kwenye uchezaji wake. Aziz Ki akili kiasi n Nguvu 100%. Yanga ndio 2nd Klabu yake, huu ni msimu wake wa pili hatujui mwendelezo wake. Kwahiyo tuache kulinganisha IST na BAJAJ. Ki asubiri 2025 ndipo tumlinganishe na Chama.
Chama wa WIDA War in Dar, Chama wa Do or Die uje umlinganishe na huyu mpiga nyento wa Wagadugu?? Lets be fair pls
MedaliHuyo Aziza ki aliyefika fainali ana nini cha maana zaidi ya shanga ?
Mwambie Chama atuonyeshe hata hio shangaHuyo Aziza ki aliyefika fainali ana nini cha maana zaidi ya shanga ?
Sasa hata huoni aibu kolo mwanzako anakwambia Yanga ndo timu ya pili Kwa Aziz Ki... Rage apewe TUZOJibu kwa hoja acha porojo