Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Eti kwakuwa alimfunga Simba goli hapa nyumbani na kule kwao kwenye mechi ya Marudiano, basi ndio tunatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha tunamsajili.
Mchezaji gani anatingisha nchi kwenye usajili wakati ukijumlisha magoli na assist zake jumla hupati walau hata magoli 15 kwa msimu.
Aziz Ki ni mchezaji wa kawaida anayeishi katika bahati ya aina yake kisa tu aliifunga Simba.
Baada ya mechi 10 za raundi ya kwanza msimu ujao, tutasema bora Ntibazonkiza angebaki Yanga.
Aziz Ki licha ya uwezo wake wa kawaida, atakumbana na presha ya kusajiliwa na kulipwa hela kubwa, hivyo ajiandae kunyimwa pasi ndani ya uwanja, ajiandae kupigwa misumari na aspokuwa makini kila siku atakuwa anaumia, mwisho wa msimu tutajikuta na sisi Yanga tuna Perfect Chikwende wetu!!
Muda ni mwalimu mzuri...