Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saidoo kuna wakati alikuwa bora sana ndiye alikuwa funguo ya Nabi katika safu ya ushambuliaji, yeye ndiye alikuwa roho katika kutengeneza mashambulizi. Tokea arudi kuoa akawa ni mpotezaji mipira, spidi hana, anapenda kukaa na mpira na kunyang'anywa. Ni vyema tukampata mbadala wake mwenye kasiIla Saido bado alikuwa anahitajika Yanga.....
Ans miaka mingapi?Hatukatai ila tatzo hataki mkataba wa mwaka 1 anataka miaka 2 na kwa umri wake kumpa miaka 2 ni risk sana hakuna aliyefurahia kuachwa kwake
Hizo ramli zako aziwezi kimzuia kucheza, Mlipopeleka kioffer chenu cha mandazi kikapigwa chini mlikuwa amjui kama ni mchezaji mbaya? Leo hii mnaanza kumtabilia mabaya kwa chuko zenu na wivu wa kike kike, ata kama akifeli kwani atakuwa wa kwanza kufeli? Mbona nyie mliwaleta kina lokosa wakaishia kufuga lasta tu kichwani? Acha upuuzi wako weweEti kwakuwa alimfunga Simba goli hapa nyumbani na kule kwao kwenye mechi ya Marudiano, basi ndio tunatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha tunamsajili.
Mchezaji gani anatingisha nchi kwenye usajili wakati ukijumlisha magoli na assist zake jumla hupati walau hata magoli 15 kwa msimu.
Aziz Ki ni mchezaji wa kawaida anayeishi katika bahati ya aina yake kisa tu aliifunga Simba.
Baada ya mechi 10 za raundi ya kwanza msimu ujao, tutasema bora Ntibazonkiza angebaki Yanga.
Aziz Ki licha ya uwezo wake wa kawaida, atakumbana na presha ya kusajiliwa na kulipwa hela kubwa, hivyo ajiandae kunyimwa pasi ndani ya uwanja, ajiandae kupigwa misumari na aspokuwa makini kila siku atakuwa anaumia, mwisho wa msimu tutajikuta na sisi Yanga tuna Perfect Chikwende wetu!!
Muda ni mwalimu mzuri...
Sakho Katokea Afrika Mashariki?, Kanoute Katokea Afrika Mashariki?Mchezaji wa Afrika Magharibi aache kwenda Ulaya au China eti aje acheze NBC Premier League
Hata Luca Modric pale Madrid kapewa mkataba Wa mwaka mmoja kwasababu ya umri wake.......sasa huyu mnyaturu saidoo ni nani spate mkataba wa miaka 2Hatukatai ila tatzo hataki mkataba wa mwaka 1 anataka miaka 2 na kwa umri wake kumpa miaka 2 ni risk sana hakuna aliyefurahia kuachwa kwake
Maana yako ni ipi?Mchezaji wa Afrika Magharibi aache kwenda Ulaya au China eti aje acheze NBC Premier League
NakaziaSaidoo kuna wakati alikuwa bora sana ndiye alikuwa funguo ya Nabi katika safu ya ushambuliaji, yeye ndiye alikuwa roho katika kutengeneza mashambulizi. Tokea arudi kuoa akawa ni mpotezaji mipira, spidi hana, anapenda kukaa na mpira na kunyang'anywa. Ni vyema tukampata mbadala wake mwenye kasi
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Usisahau na Serge WawaSakho Katokea Afrika Mashariki?, Kanoute Katokea Afrika Mashariki?
Toka upo kiunoni kwa babakoWewe Yanga toka lini?
Hamna wachezaji hapoSakho Katokea Afrika Mashariki?, Kanoute Katokea Afrika Mashariki?
NakaziaHuyo ni Sir PONG Aliyechangamka....!😅 Zile pointi 0.5 za Yanga Kule CAF safari hii wanaenda kuzifuta kbs...
Wanaume tukijadili mambo yetu wewe binti unapaswa kwenda kukata vitunguuUmechangia shilingi ngapi za kumsajili KI AZIZ? Maana unateseka saana.
Huu ndio ukweri na razma niwaambie ukweri watanzaniaIla Saido bado alikuwa anahitajika Yanga.....
Kama weweSimba ina viongozi makini, wachezaji wazuri, mafanikio ya kutosha lakini mshabiki wa ovyo.
Mbona unaandika mambo ambayi huyajui?Hizo ramli zako aziwezi kimzuia kucheza, Mlipopeleka kioffer chenu cha mandazi kikapigwa chini mlikuwa amjui kama ni mchezaji mbaya? Leo hii mnaanza kumtabilia mabaya kwa chuko zenu na wivu wa kike kike, ata kama akifeli kwani atakuwa wa kwanza kufeli? Mbona nyie mliwaleta kina lokosa wakaishia kufuga lasta tu kichwani? Acha upuuzi wako wewe