Unaposema umepigwa, useme kiasi ulichopigwa. Umepigwa wewe na nani?Eti kwakuwa alimfunga Simba goli hapa nyumbani na kule kwao kwenye mechi ya Marudiano, basi ndio tunatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha tunamsajili.
Mchezaji gani anatingisha nchi kwenye usajili wakati ukijumlisha magoli na assist zake jumla hupati walau hata magoli 15 kwa msimu.
Aziz Ki ni mchezaji wa kawaida anayeishi katika bahati ya aina yake kisa tu aliifunga Simba.
Baada ya mechi 10 za raundi ya kwanza msimu ujao, tutasema bora Ntibazonkiza angebaki Yanga.
Aziz Ki licha ya uwezo wake wa kawaida, atakumbana na presha ya kusajiliwa na kulipwa hela kubwa, hivyo ajiandae kunyimwa pasi ndani ya uwanja, ajiandae kupigwa misumari na aspokuwa makini kila siku atakuwa anaumia, mwisho wa msimu tutajikuta na sisi Yanga tuna Perfect Chikwende wetu!!
Muda ni mwalimu mzuri...
Anatikisa usajili au anatikisa Instagram na story za wachambuzi wetu wa michongoEti kwakuwa alimfunga Simba goli hapa nyumbani na kule kwao kwenye mechi ya Marudiano, basi ndio tunatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha tunamsajili.
Mchezaji gani anatingisha nchi kwenye usajili wakati ukijumlisha magoli na assist zake jumla hupati walau hata magoli 15 kwa msimu.
Aziz Ki ni mchezaji wa kawaida anayeishi katika bahati ya aina yake kisa tu aliifunga Simba.
Baada ya mechi 10 za raundi ya kwanza msimu ujao, tutasema bora Ntibazonkiza angebaki Yanga.
Aziz Ki licha ya uwezo wake wa kawaida, atakumbana na presha ya kusajiliwa na kulipwa hela kubwa, hivyo ajiandae kunyimwa pasi ndani ya uwanja, ajiandae kupigwa misumari na aspokuwa makini kila siku atakuwa anaumia, mwisho wa msimu tutajikuta na sisi Yanga tuna Perfect Chikwende wetu!!
Muda ni mwalimu mzuri...
T-shirt Kali sana hii
We Mbona Unamuita Ivo Tena Mchezaji Wenu Si Tumekubaliana Mtamtambulisha Simba Day.Aziz Kinyesi.
Hata kwa Fiston Mayele mliwanga hivi hivi! Mwisho wa siku mliambulia tu aibu.Eti kwakuwa alimfunga Simba goli hapa nyumbani na kule kwao kwenye mechi ya Marudiano, basi ndio tunatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha tunamsajili.
Mchezaji gani anatingisha nchi kwenye usajili wakati ukijumlisha magoli na assist zake jumla hupati walau hata magoli 15 kwa msimu.
Aziz Ki ni mchezaji wa kawaida anayeishi katika bahati ya aina yake kisa tu aliifunga Simba.
Baada ya mechi 10 za raundi ya kwanza msimu ujao, tutasema bora Ntibazonkiza angebaki Yanga.
Aziz Ki licha ya uwezo wake wa kawaida, atakumbana na presha ya kusajiliwa na kulipwa hela kubwa, hivyo ajiandae kunyimwa pasi ndani ya uwanja, ajiandae kupigwa misumari na aspokuwa makini kila siku atakuwa anaumia, mwisho wa msimu tutajikuta na sisi Yanga tuna Perfect Chikwende wetu!!
Muda ni mwalimu mzuri...
Aijalishi.We Mbona Unamuita Ivo Tena Mchezaji Wenu Si Tumekubaliana Mtamtambulisha Simba Day.
Umechangia shilingi ngapi za kumsajili KI AZIZ? Maana unateseka saana.Eti kwakuwa alimfunga Simba goli hapa nyumbani na kule kwao kwenye mechi ya Marudiano, basi ndio tunatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha tunamsajili.
Mchezaji gani anatingisha nchi kwenye usajili wakati ukijumlisha magoli na assist zake jumla hupati walau hata magoli 15 kwa msimu.
Aziz Ki ni mchezaji wa kawaida anayeishi katika bahati ya aina yake kisa tu aliifunga Simba.
Baada ya mechi 10 za raundi ya kwanza msimu ujao, tutasema bora Ntibazonkiza angebaki Yanga.
Aziz Ki licha ya uwezo wake wa kawaida, atakumbana na presha ya kusajiliwa na kulipwa hela kubwa, hivyo ajiandae kunyimwa pasi ndani ya uwanja, ajiandae kupigwa misumari na aspokuwa makini kila siku atakuwa anaumia, mwisho wa msimu tutajikuta na sisi Yanga tuna Perfect Chikwende wetu!!
Muda ni mwalimu mzuri...
Simba ina viongozi makini, wachezaji wazuri, mafanikio ya kutosha lakini mshabiki wa ovyo.Eti kwakuwa alimfunga Simba goli hapa nyumbani na kule kwao kwenye mechi ya Marudiano, basi ndio tunatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha tunamsajili.
Mchezaji gani anatingisha nchi kwenye usajili wakati ukijumlisha magoli na assist zake jumla hupati walau hata magoli 15 kwa msimu.
Aziz Ki ni mchezaji wa kawaida anayeishi katika bahati ya aina yake kisa tu aliifunga Simba.
Baada ya mechi 10 za raundi ya kwanza msimu ujao, tutasema bora Ntibazonkiza angebaki Yanga.
Aziz Ki licha ya uwezo wake wa kawaida, atakumbana na presha ya kusajiliwa na kulipwa hela kubwa, hivyo ajiandae kunyimwa pasi ndani ya uwanja, ajiandae kupigwa misumari na aspokuwa makini kila siku atakuwa anaumia, mwisho wa msimu tutajikuta na sisi Yanga tuna Perfect Chikwende wetu!!
Muda ni mwalimu mzuri...
Hatukatai ila tatzo hataki mkataba wa mwaka 1 anataka miaka 2 na kwa umri wake kumpa miaka 2 ni risk sana hakuna aliyefurahia kuachwa kwakeIla Saido bado alikuwa anahitajika Yanga.....
umepigwa wapiEti kwakuwa alimfunga Simba goli hapa nyumbani na kule kwao kwenye mechi ya Marudiano, basi ndio tunatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha tunamsajili.