Azizi Ki tumepigwa mchana kweupeee

Ni kweli aisee, ni Simba wamelamba Dume kumsajili Mugalu
 
Ila Saido bado alikuwa anahitajika Yanga.....
Saidoo kuna wakati alikuwa bora sana ndiye alikuwa funguo ya Nabi katika safu ya ushambuliaji, yeye ndiye alikuwa roho katika kutengeneza mashambulizi. Tokea arudi kuoa akawa ni mpotezaji mipira, spidi hana, anapenda kukaa na mpira na kunyang'anywa. Ni vyema tukampata mbadala wake mwenye kasi

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hatukatai ila tatzo hataki mkataba wa mwaka 1 anataka miaka 2 na kwa umri wake kumpa miaka 2 ni risk sana hakuna aliyefurahia kuachwa kwake
Ans miaka mingapi?
 
Hizo ramli zako aziwezi kimzuia kucheza, Mlipopeleka kioffer chenu cha mandazi kikapigwa chini mlikuwa amjui kama ni mchezaji mbaya? Leo hii mnaanza kumtabilia mabaya kwa chuko zenu na wivu wa kike kike, ata kama akifeli kwani atakuwa wa kwanza kufeli? Mbona nyie mliwaleta kina lokosa wakaishia kufuga lasta tu kichwani? Acha upuuzi wako wewe
 
Tatizo skauti mbovu Kama isingekuwa simba Aziz asingeonekana
 
Hatukatai ila tatzo hataki mkataba wa mwaka 1 anataka miaka 2 na kwa umri wake kumpa miaka 2 ni risk sana hakuna aliyefurahia kuachwa kwake
Hata Luca Modric pale Madrid kapewa mkataba Wa mwaka mmoja kwasababu ya umri wake.......sasa huyu mnyaturu saidoo ni nani spate mkataba wa miaka 2
 
Nakazia
 
makolo fc kumbe hata akina sapong na yippe kama mlivyo fanya kwa mayele mli wa loga ili wasi perfom, hamna chenu tena maana hii janja imeisha julikana

tena na wakala wenu wa ulozi tuliisha mng'amua yaani nyie ni kipigo tuu kwa kwenda mbele!
 
Mbona unaandika mambo ambayi huyajui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…