Azizi Ki tumepigwa mchana kweupeee

unateseka kutokea wapi
 
Akili zako zinaendana kabisa na Id yako, Wewe ni kobisi jina la yule muigizaji wa tamthiliya ya kombolela kwenye kisimbuzi cha Azam, matendo yake yanaakisi ulichokiandika hapa, unakuwa mpiga ramli unatokwa maneno kibaooo utafikiri muuza karanga, waliomsajili wao wamerizika nae lakini wewe sherehe isiyokuwa yako umeivalia dela, umechangia bei gani kwenye usajili wake hili akiferi urudishiwe pesa yako ndugu
 
Kumbe mpo uto mlioona mbali mapema, hongera kwako.

Jitu Okrah.... kila nikimtazama tabasamu lake mazoezini ni kama vile anasema hii ligi mbona inachelewa kuanza, anajiamini halafu katuliaaa..
 
Kumbe mpo uto mlioona mbali mapema, hongera kwako.

Jitu Okrah.... kila nikimtazama tabasamu lake mazoezini ni kama vile anasema hii ligi mbona inachelewa kuanza, anajiamini halafu katuliaaa..
Anatoa pass huku anakimbia. Kama play station tu yaani
 
Reactions: BRN
Daah. Ilibaki kidogo tuchukue hili garasa, wachambuzi wangetuandika bila kuchoka
Vipi...Hii comment bado iko valid baada ya mechi ya Jana? Inasemekana washabiki wengi wa Simba walijisahau na kushangilia lil GOLI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…