Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Azov Brigade ya Ukraine inatambuliwa na ulimwengu wa magharibi kama mashujaa walinzi wa Ukraine ila Hamas wana tambulika kama kundi la kigaidi kutoka Palestine.
Ulimwengu wa Kimagharibi wakiamua kinyesi kiwe chakula wanaamua tu na ukiwa muunga tela watakulisha nawe utaona utamu wake.
Dunia hii bwana kuna kitu cha kipumbavu waafrika wanaimbishwa kinachoitwa democracy jina sahihi "unafiki".
Maslahi, maslahi, maslahi ogopa kitu kinachoitwa maslahi unafiki hapa ni wa kiwango cha juu sana mtu anageuka mwenye roho ya kinyama zaidi ya simba.