4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kwamba hujui hamas wameimarika kwa misaada ya wazungu?Mmoja ana misaada kama yote Dunia nzima, mwengine anatumia home made weapons, akate bomba la. Maji ndio atengeneneza Silaha. Na IDF hawavinjari Gaza wanakufa kama Kuku kila siku, nenda telegram video zinatumwa live