Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Huwajui Azov wewe, Kabla ya Vita vya Ukraine Nchi kibao zilikuwa Zinawapiga marufuku, ni Magaidi kama Magaidi wengine, ni White supremacist na wanaua watu wote ambao sio weupe,Sasa wewe unavamia, kuua na kuteka raia ambao hawana bunduki halafu uitwe shujaa? Wewe ni gaidi tu hata mimi nitakuita gaidi /magaid...
Mmoja ana misaada kama yote Dunia nzima, mwengine anatumia home made weapons, akate bomba la. Maji ndio atengeneneza Silaha. Na IDF hawavinjari Gaza wanakufa kama Kuku kila siku, nenda telegram video zinatumwa liveAcha kulinganisha Azov na hao hamas waoga wanaokimbia hata mende
Hamas ni kama wanaume wa dar tu., siku chache tu majeshi ya islaer yanavinjari Gaza bila kukutana na battle yoyote ya maana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Lini azov walivamia urusi na kuua watu kama wale magaidi wakislam hamas walivoua waisraelAzov Brigade ya UKRAINE inatambuliwa na ulimwenguni wa magharibi kama mashujaa walinzi wa UKRAINE ila Hamas wana tambulika kama kundi la kigaidi kutoka PALESTINE...
Sasa km IDF wanakufa kama kuku mbona mnaandamana free palestina?Mmoja ana misaada kama yote Dunia nzima, mwengine anatumia home made weapons, akate bomba la. Maji ndio atengeneneza Silaha. Na IDF hawavinjari Gaza wanakufa kama Kuku kila siku, nenda telegram video zinatumwa live
Nao walifanya tukio km la Hamas la octoba 7?Huwajui Azov wewe, Kabla ya Vita vya Ukraine Nchi kibao zilikuwa Zinawapiga marufuku, ni Magaidi kama Magaidi wengine, ni White supremacist na wanaua watu wote ambao sio weupe,
Free palestine kwa maana raia na sio Hamas, ushaona maandamano ya Free Hamas?Sasa km IDF wanakufa kama kuku mbona mnaandamana free palestina?
hamas=palestinaFree palestine kwa maana raia na sio Hamas, ushaona maandamano ya Free Hamas?
Israel wanafanya Genocide kuua raia wa kawaida,
Ingekua situation ni Vice versa IDF haui raia na Hamas wanaua raia wa kawaida wa Israel kungekua na maandamano ya Free Israel.
Sio moja wana matukio kibao, Hao ni Neo Nazi na wamehusika kwenye Christchurch shooting New Zealand na matukio kibao duniani kote.Nao walifanya tukio km la Hamas la octoba 7?
Sijaelewahamas=palestina
idf=israel
Kajiunge nao hao hamasi nawe uwahi mabikra 72Free palestine kwa maana raia na sio Hamas, ushaona maandamano ya Free Hamas?
Israel wanafanya Genocide kuua raia wa kawaida,
Ingekua situation ni Vice versa IDF haui raia na Hamas wanaua raia wa kawaida wa Israel kungekua na maandamano ya Free Israel.
Miongoni mwa wanna wanaoweza kulishwa nyaa ni pamoja na ...254Azov Brigade ya UKRAINE inatambuliwa na ulimwenguni wa magharibi kama mashujaa walinzi wa UKRAINE ila Hamas wana tambulika kama kundi la kigaidi kutoka PALESTINE.
Ulimwengu wa kimagharibi wakiamua kinyesi kiwe chakula wanaamua tu na ukiwa muunga tela watakulisha nawe utaona utamu wake.
Duniani hii bwana kuna kitu cha kipumbavu waafrika wanaimbishwa kinacho itwa democracy jina sahihi "unafiki"
Maslahi, maslahi, maslahi ogopa kitu kinachoitwa maslahi unafiki hapa ni wa kiwango cha juu sana mtu anageuka mwenye roho ya kinyama zaidi ya simba.
Capitalist ana akili sana kuliko socialist.Putin anajipigia tu anavyotaka huko Ukraine sisikii cha marekani wala mavi yake. Zelensky kapoa kama mkojo wa ngedere.