4by94 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2019 Posts 9,214 Reaction score 8,306 Nov 21, 2023 #41 baba-mwajuma said: Mmoja ana misaada kama yote Dunia nzima, mwengine anatumia home made weapons, akate bomba la. Maji ndio atengeneneza Silaha. Na IDF hawavinjari Gaza wanakufa kama Kuku kila siku, nenda telegram video zinatumwa live Click to expand... kwamba hujui hamas wameimarika kwa misaada ya wazungu?
baba-mwajuma said: Mmoja ana misaada kama yote Dunia nzima, mwengine anatumia home made weapons, akate bomba la. Maji ndio atengeneneza Silaha. Na IDF hawavinjari Gaza wanakufa kama Kuku kila siku, nenda telegram video zinatumwa live Click to expand... kwamba hujui hamas wameimarika kwa misaada ya wazungu?
K Kohelethi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 3,865 Reaction score 3,643 Nov 21, 2023 #42 Unalinganisha AZOV na wavaa baibui wanajificha waonekane wanawake?. Tumia akili
4by94 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2019 Posts 9,214 Reaction score 8,306 Nov 21, 2023 #43 baba-mwajuma said: Free palestine kwa maana raia na sio Hamas, ushaona maandamano ya Free Hamas? Israel wanafanya Genocide kuua raia wa kawaida, Ingekua situation ni Vice versa IDF haui raia na Hamas wanaua raia wa kawaida wa Israel kungekua na maandamano ya Free Israel. Click to expand... wanakufa kama kuku na bado wamewateka raia wa gaza ? [emoji23][emoji23] mkipata akili mtarud kusoma ushuz wenu huu
baba-mwajuma said: Free palestine kwa maana raia na sio Hamas, ushaona maandamano ya Free Hamas? Israel wanafanya Genocide kuua raia wa kawaida, Ingekua situation ni Vice versa IDF haui raia na Hamas wanaua raia wa kawaida wa Israel kungekua na maandamano ya Free Israel. Click to expand... wanakufa kama kuku na bado wamewateka raia wa gaza ? [emoji23][emoji23] mkipata akili mtarud kusoma ushuz wenu huu