Azuma na P2 zimeteka soko la madawa muhimu ya binadamu kwa sasa

Azuma na P2 zimeteka soko la madawa muhimu ya binadamu kwa sasa

Sa mbona umeihusisha na 6X6 ?!
ukistudy body language, facial expressions na tone ya mteja wa Azumu, hususani wa kiume unona kabisa huyu ametoka kwenye 6kwa6 isiyoeleweka, alipo maliza shida zake akili ikakaa sawa majuto yakamuingia, Maskini ya Mungu akajikuta anakimbilia kwa mfariji wao mkuu wa mwanzo kabisa bwana AZUMA kwenye pharmacy
 
Azuma ni antibiotic ambayo ipo chini sana kwa kutibu infections, Sema baadhi ya wagonjwa wanaishi kwa kukuriri Dawa.
mostly ni watu wa kujificha but wakienda kupima na kubaini kiwango cha maambukizi wanaweza kupata tiba nzuri zaidi na ya uhakika zaidi....
 
mostly ni watu wa kujificha but wakienda kupima na kubaini kiwango cha maambukizi wanaweza kupata tiba nzuri zaidi na ya uhakika zaidi....

.. ________________________

. Yeah upo sahihi kabisa mkuuu,

. Kila niki jaribu ku reply post inanipeleka kwenye ku quote, hii imekaaje 🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom