raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Hawanaga aibu haoKwa ushauri huo najua hana nia ya kugombea tena ubunge.
Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali...
Mkuu naomba na kubali nitofautiane na wewe. Huwezi kutoza posho zote Kodi. Kodi izingatie unono wa posho yenyewe. Posho za kutisha na zinazotokana na majukumu yanayojirudia yatozwe kodi maradufu.Posho zote zikiwemo za wabunge zikatwe kodi. Chanzo kipya
Wabunge wengine hawana huruma na watanzania. Suala la muhimu ni kupanua vyanzo vya mapato na sio kuwanyonya watanzania.Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali....
Chee ilala walichagua kitu cha ajabuMbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540 kwa kila siku.
View attachment 1758533
Hiyo kodi ya Azzan Zungu hainamantiki.Kwa ushauri huo najua hana nia ya kugombea tena ubunge.
Huyu dingi anazeeka vibaya!Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540 kwa kila siku.
View attachment 1758533
Unamaanisha 500k?50 ndogo wakate kabisa 500 pumbavu kabisa.