Azzan Zungu ataka uwepo wa kodi ya uzalendo itakayokatwa kwenye Mitandao ya simu kwa kila Mtanzania

Kuanzia 26 Julai 2021 kila uingiapo kwenye menyu yoyote ya Bank utatozwa Tsh100 kwenye salio lako la muda wa maongezi.
Tunatekeleza
 
Rais hakatwi kodi kwenye mshahara wake
Majaji hawakatwi kodi kwenye mshahara wao

Waanze hao nao kulipa kodi ili tuweze kusema kuwa kulipa kodi ni uzalendo
 
Hivi hawa Viongozi huwa wanasoma hizo kommenti?

Wanazichukuliaje?
 
Hivi ni kweli kesharesti in pisi au uzushi??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…